Taarabu na ujumbe wake

royna

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
479
Reaction score
336
Habari zenu jamani!

Hongereni kwa kupata siku maalum ya wanaopendana.

Tuwaombee na ambao hawajapata wapate.

Mimi nina swali moja tu nahitaji msaada, hivi taarabu huwa zina ujumbe wowote kwenye maisha ya kawaida? are they related to any religion?

Kama una taarabu moja unaijua ina ujumbe mzuri, please naomba unisaidie kuitaja, na muimbaji wake.

asanteni.
 
"Mume ukampe raha mama usiende kumpa tabu"
issa matona kimasomaso, nice taarabu daima na milele
ina ujumbe mzuri kwa sisi ambao hatujaolewa
 
Taarab - Wikipedia, the free encyclopedia
Taarab is a music genre popular in Tanzania and Kenya. It is influenced by music from the cultures with a historical presence in East Africa, including music from South Asia, Sub-Saharan Africa, North Africa, the Middle East and Europe. Taarab rose to prominence in 1928 with the rise of the genre's first star, Siti binti Saad.
According to local legend, taarab was started by Sultan Seyyid Barghash bin Said (1870-1888); he liked luxury and the pleasures of life. It was this ruler who started Taarab in Zanzibar and later it spread all over East Africa. He imported a taarab ensemble from Egypt, to play in his Beit el-Ajab palace. Later on he decided to send to Egypt Mohamed Ibrahim to learn music and he also learned to play the Kanun. Upon his return he formed the Zanzibar Taarab Orchestra. In 1905, Zanzibar's second music society, Ikwhani Safaa Musical Club, was established and continues to thrive today.[SUP][citation needed][/SUP]
Ikwhani Safaa and Culture Musical Club (founded in 1958) remain the leading Zanzibar taarab orchestras.

The word Taarab is a loanword from Arabic. The Arabic word طرب means "having joy with music".
 
mama nipe radhi naona ni nzuri pia kwa upande wangu.
 
mimi naipenda sijui inaitwaje ila kuna kiitikio kinasema umaskini wangu haunipi taharuki hata mkinikebei na ile jua mlango wa mungu uwazi
 
Kitu kingine kikareeee "nahodha"
nahodha kakae mbele abiria tuwe nyuma
nahodha kukaa nyuma ni kinyume cha sheria, mwendo na usalama
he he he heiyaaaaa
 
"Mume ukampe raha mama usiende kumpa tabu"
issa matona kimasomaso, nice taarabu daima na milele
ina ujumbe mzuri kwa sisi ambao hatujaolewa

kwa kuongezea tu..........
@...leo umepat wako mama, mahawara na wakome'
huyo huyo hayati Issa Matona

zipo nyingi sana sema wewe unasikiliza mipasho na si taarab!
 
kwa kuongezea tu..........
@...leo umepat wako mama, mahawara na wakome'
huyo huyo hayati Issa Matona

zipo nyingi sana sema wewe unasikiliza mipasho na si taarab!

mi zangu kama hizo za Issa matona, hawa wanaonyanyua manyonyo hadi shingoni hata siwaangaliagi.
 

Pata huu ujumbe wa zamani:

[video=youtube_share;ko4A4YKsXDk]http://youtu.be/ko4A4YKsXDk[/video]
 
hali yangu makhamumuu oh!maradhi yamenisibuuu! ewe njiiwa ewe njiiwa peleka salaamu kwaa yule kwaa yule wangu mukhibu!
 
mi zangu kama hizo za Issa matona, hawa wanaonyanyua manyonyo hadi shingoni hata siwaangaliagi.

umeona eeeenh..........kuna Mwanahela, Shakira, Abdalla Issa etc

lkn taarabu za siku hizi zachewa na viduku..........makubwaa!!!
 
Kwa kawaida taarabu zile za zamani zilikuwa na ujumbe tafauti tafauti.

Mfano hiyo taarab aliyowekia Faiza hapo juu ambayo iliimbwa na Egyptian Musical Club. Hawa Egyptian na zile club za zamani kama Culture, Ikhwan Safaa, Black Star na Lucky Star zilikuwa zinaimba kwa kituo na mashairi yalikuwa yanatungwa kwa kuelimisha umma. Hata kama alikuwa anasemwa mtu usingeweza kutambua kwa mara moja.

Lakini taarab za sasa ni vurugu tupu na matusi kwa kwenda mbele.
 
umeona eeeenh..........kuna Mwanahela, Shakira, Abdalla Issa etc

lkn taarabu za siku hizi zachewa na viduku..........makubwaa!!!

Mtu mwingine atleast namsikiliza ni hadija kopa
kile kitu chake "mngekuwa embe dodo ningewala na majani"
kianipaga raha mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…