taarabu hii inaitwaje nimeishahau

taarabu hii inaitwaje nimeishahau

Joined
May 9, 2014
Posts
57
Reaction score
46
kazi yako ufisadi jeuri ngebe na nyodo baraka za ukaidi ukali kama embe ngwangwa
badala soda baridi au juisi ya chungwa ushamba umekuzidi andazi wanyea togwaa
 
Nalijua jiji sema nahisi hadija kopa anayo inaitwa the same ila hajaimba hadija kopa
 
kazi yako ufisadi jeuri ngebe na nyodo baraka za ukaidi ukali kama embe ngwangwa
badala soda baridi au juisi ya chungwa ushamba umekuzidi andazi wanyea togwaa
Huwa nabaki mdomo wazi kabisa, pale ninapoona mtoto wa kiume anaulizia nyimbo za taarabu.
Kwakweli huwa napata mashaka sana kwa mienendo ya kijana wa aina hiyo....[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Enzi za kwa mzee yusuph magomeni.kwenye taarabu wanaume wanajaa kuliko wanawake.
 
Kwa wanaume wa huko sikatai mkuu, maana niliwahi kuwaona wanajitahidi kutikisa manyonyo, na kukata mauno...[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huwa nabaki mdomo wazi kabisa, pale ninapoona mtoto wa kiume anaulizia nyimbo za taarabu.
Kwakweli huwa napata mashaka sana kwa mienendo ya kijana wa aina hiyo....[emoji30][emoji30][emoji30]
majitu ya bara haya maoga sana sasa ukisikiliza taarabu unapata bahasha au?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
kazi yako ufisadi jeuri ngebe na nyodo baraka za ukaidi ukali kama embe ngwangwa
badala soda baridi au juisi ya chungwa ushamba umekuzidi andazi wanyea togwaa
Hiyo inaitwa utalijua jiji muimbaji Afua Suleiman
 
Taarabu napendea pale wanawake wanavyokata miuno feni dah yaan naweza honga laki
 
kazi yako ufisadi jeuri ngebe na nyodo baraka za ukaidi ukali kama embe ngwangwa
badala soda baridi au juisi ya chungwa ushamba umekuzidi andazi wanyea togwaa
Wimbo unaitwa UTALIJUA JIJI na uliimbwa na Afua Suleimani kutoka East African Melody - Modern Taarab
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom