sio mbaya ukasema hayo maneno ili tuyatazame.
Usiwe kama viongozi wa chama fulani wanaosema 'tusipokuwa makini mbegu ya udini itatumaliza', bila kutwambia u wapi huo udini.
Sawasawa?
nenda youtubeangalia,'kubali matokeo','huyu simtoi' sijui najiamini huna mambo ...ukiangalia kwa undani either ni nyimbo ya nyumba kubwa au ndogo 'ikiitoleana uvivu' kuhusu mume.
hivi kwa nini music wa taarab mara nyingi ujumbe wake ni wa kutambiana kuchukuliana mwanaume,utasikia 'huna mambo',hunirushi roho...utalijua jiji. nimesikiliza ni wanawake kutambiana kumchukua mume..hivi wale wanamusic wa taarab hawana ujumbe mwingine kama mgao wa umeme,maisha kupanda...huduma mbovu za nchi yetu au hainogi LOL.....
DaGetu huyu wa kutaka kupelekwa vacation spain utadhani atakuja kukubali utamaduni wa mswahili ..? mwenyewe kisha zoea kina alicia keys, jlo .. hehehe Rusha Roho! kama jina lake lilivyo ! kazi yake ni kurusha roho .. yawezekana kusiwe na ujumbe but burudani ipo!.. na hayo mafumbo ndio buradani yenyewe maeneo yetu ya uswahili ... aende kwenye shows za taarab aone ukumbi unavyojaza watu.. hizo ndio vacations zao bana kwa bei rahisi kabisa wakitoka hapo roho nyeupeewewe tunga huo wimbo wa Dowans halafu wapelekee waimbe. Nalog off
Zamani moshi kulikuwa kuna kikundi cha taarab, kiliishia wapi?
DaGetu huyu wa kutaka kupelekwa vacation spain utadhani atakuja kukubali utamaduni wa mswahili ..? mwenyewe kisha zoea kina alicia keys, jlo .. hehehe Rusha Roho! kama jina lake lilivyo ! kazi yake ni kurusha roho .. yawezekana kusiwe na ujumbe but burudani ipo!.. na hayo mafumbo ndio buradani yenyewe maeneo yetu ya uswahili ... aende kwenye shows za taarab aone ukumbi unavyojaza watu.. hizo ndio vacations zao bana kwa bei rahisi kabisa wakitoka hapo roho nyeupee
Wachagga na taarabu wapi na wapi bana?
Ok wacha watu wa pwani tuwape somo-
1) hiyo uliyoweka ni modern taarab (RUSHA ROHO) .. Na ina rahayake sometimes Kitu VIP la mzee yusph enzi za jahazi yaani we acha tu! ukipigwa nyumbani roho inatuliaa inawezekana isielimishe BUT ZINA BURUDISHA Au da getu ulitaka kila nyimbo iimbe ukimwi na matatizo tu!
2) Taarabu yenyewe kabisa zilipendwa siku hizi haziimbwi sana Mfano wa taarabu halisi ni huu hapa CHINI
3) KUNA BASHRAF NI AINA YA TAARAB LAKINI NI MELODY TUPU SIKILIZA NYIMBO CHINI HIZO MELODY ZINAZOANZA NDIO MFANO WA BASHRAF
Taarabu haina mashiko siku hizi mambo yote iko huku! NDEMBENDEMBE...
View attachment 42773