huna hata wa kukutoa ha..muuuuu!!sina mume mie bado,
hamna ujumbe mwingine mbona wote tunaimba kumkamata huyo mume?
Hiyo sio Taarab hiyo ni rusha roho. Taarab ukiisikiliza unaona raha inafundisha, ina vina, ina mizani, hata music yake imetulia. Hiyo ya kupigwa lango la jiji nayo unaiita Taarab? Unanchekesha!
ya lango la jiji inaitwa aje?Hiyo sio Taarab hiyo ni rusha roho. Taarab ukiisikiliza unaona raha inafundisha, ina vina, ina mizani, hata music yake imetulia. Hiyo ya kupigwa lango la jiji nayo unaiita Taarab? Unanchekesha!
ya lango la jiji inaitwa aje?
sina mume mie bado,
hamna ujumbe mwingine mbona wote tunaimba kumkamata huyo mume?
Hiyo sio Taarab hiyo ni rusha roho. Taarab ukiisikiliza unaona raha inafundisha, ina vina, ina mizani, hata music yake imetulia. Hiyo ya kupigwa lango la jiji nayo unaiita Taarab? Unanchekesha!
Faiza embu weka video ya Taarab,ili tujue kutofautisha...anyhow...hio rusha roho hawawezi rusha roho na mambo mengine zaidi ya 'mume'?? Lol
Wizara husika ya maadili iliangalie hilo nalo na hasa lugha na maneno wanayotumia kwenye tungo za mistari yao.hongera sana kuliona hilo!
mziki huuni wa kukusaidia kumkamata mmeo mama eeh!!!
wapo wenzako wanajua jinsi ya kukamata na kutunza....#
hutaki nenda magomeni kwa mama aziza!!!
siezi weka link, ila tafuta wimbo wa Mzee Yusuph ft. Hadija Yusuph - Undugu hazina yetu, pia cheki na wimbo wa Isha Ramadhani - Hayanifiki, Leila Rashid - Langu rohoni, nimekupa mifano michache isiyozungumzia kupokana waume, mwingine aweza kuongeza mingine.
Sawasawa?
uko deep kwenye taarab, unaishi lango la jiji?
mijimama ya magomeni inaamini kumpa mume tigo ndio kuimarisha ndoa, kumbe inasahau kuwa utulivu au uzinzi ni hulka ya mtu.