Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Wakuu muziki wa taarabu umeanza kuelekea pabaya zaidi tofauti na mwanzo ilianza taarab asilia ikaja #modern #taarab na sasa ni #modern #taradance.
Muziki umegeuka vijembe,matusi ya live yaso na mfano angalau hata mwanzo walikuwa wakitumia lugha ya mafumbo, kiduku, kuvaa mavazi ya ajabu nayo yameikumba taarab imekuwa ni vurugu tosha muziki huu umegeuzwa dance na rhumba utunzi mbovu wa mashair usiozingatia mizani wala vina kibaya zaidi juzi kati wakati wa tuzo za KTMA/Kill Music Award walishangaza Tanzania kwa kitendo cha kusikitisha cha kuutaja wimbo wa rhumba alioimba isha mashauz kuwa eti ndo wimbo bora wa taarab.
Wimbo huo unaitwa #mapenzi #hayana #dhamana ni wimbo wa rhumba ulioingza kwenye taarab kuwa eti ndo wimbo bora, hii imeleta manung'uniko makubwa kuuweka wimbo ambao una mashair mabovu kuwa ndo wimbo bora.
Hizi #modern #taradance zitatupeleka pabaya, nini kifanyike kuikoa taarab?
Nawasilisha