taalum ya tiba asili itauawa na ujanja ujanja wao na kuendekeza njaa

pakamwam

JF-Expert Member
May 28, 2013
516
654
sita sahau mwaka 2011pale jamaa yangu alipolazwa kwa mtu wa tiba asili baada ya kupata gono. baada ya wiki mbili bila nafuu na hali kuzidi kuwa mbaya ndio akanipigia nimpe ushauri. wazee wetu wanajua dawa sana lakini huwakuti kudharu hospitali na kujitangaza sana kwa kuwadanganya watu

tuwe makini na hawa watu wa tiba asili, wengini wababishaji na wasomaji wawikipedia ndio waje kwadanganya watu. mtu wa tiba asili hanaga ugonjwa anaoshindwa kabisa. utakuta mtu hazai baadala ya kutafuta sababu ya kutokuzaa ana mpa bla bla nyingi na kumlia pesa nyingisana

moja ya sababu za ongezeko la watoto pori ndani ya ndo linaweza kuchangiwa na hawa wanaojiita waganga wa tiba asili. nimekutana na watu wengi sana, akiendakupima kwa waganga wa tiba asili utamkuta ana utia, sijui upungufu wa vitamini na wisho a siku anapewa dawa za gharama kubwa, nenda ukampime utakuta hana kitu

sikatai kuwa dawa asili zinaweza kupnya ila nasema wengi walioingia hukoni wajanja wajanja tu. mtu anasema vitamini au matunda kwa ni wapi au nani asiyejua umuhimu wa hivyo vitukwenye mwili?

ebu jamani anzani na hospitali na tena za serikali maana wataalam wengi wazuri wako huko, ikishindikana ndio nendeni huko kama imeshindikana kabisa.

pia serikali yetu ina mfumo mzuri sana wa tiba kuanzia zahanati mpaka hspitali ya taifa, shinda ni kuondoa ile imani kuwa tiba ni siku moja hadi wiki, ni vizuri kulewa kuwa tiba hujukua mlolongo mreefu

pia namalia kumpongeza kigwangara kwa kazi nzuri ya kutuondolea matapeli mitaani.
 
Nani ?? Kigwangala eeh ?? Una mushukuru sio ? Sawa sawa
 
Back
Top Bottom