Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,096
- 111,718
Koma kabisa maana Mimi sisemi ntamfanyaje ila hatorudia maisha yake yote🤣🤣🤣🤣🙌Nimekoma mie
Koma kabisa maana Mimi sisemi ntamfanyaje ila hatorudia maisha yake yote🤣🤣🤣🤣🙌Nimekoma mie
🤣🤣🤣 unataka kazi gani?Likizo ndo imeanza msiponipa Kaz ya kufanya hakika mie ndo nitawapa. siku njema wapen
Hahaha.......wasije kunipopoa mawe Babu yao tu, maana Mada yako imewabamba ujue 🤪🤣🤣Yeah sure ...from now on....ngoja niwaachie na kumada gwao waconclude wenyewe 😤
💯🤝Mapenz ni starehe
🤣🤣🤣 haya bana mimi nilikuwa nauliza tu endelea kufundishana na huyo mkuuAshanipa mkuu mmoja tayari ya kufundisha.....au wewe una bello la mtumba wa nguo nikapige mnada mie mwez uende kimkakati?
Nakwambia maji tutaita mma kama vibogoyo😀😀Kufunguka mpata tar 3/7 si mtakuwa mmeiva kweli🤣🤣
Na nipo Kwa ajili ya hilo cute...furaha tu...ndo maana positive and negative comments nareply♥️♥️♥️ Asante Kwa kuappreciate momNakwambia maji tutaita mma kama vibogoyo😀😀
Ila for sure napendaga ulivyo charming na muwazi, nyuzi zako zinafurahisha sana.😀
Kwa hiyo ata ulimi kule kwenye linda mukide tuu au mie ndio sijaelewa🤔🤔🤔🤔Mapenz ni starehe Wala siyo ugomvi.....na unapoenda kuonana na mwenzio unajua kabisa waenda kustarehe.....sasa tukubaliane kwenye faragha zetu ni ruksa kushikwa popote Ili mradi tu najisikia vizuri kufanya hivyo
I mean tusipangiane pa kushika... wanawake wastaarabu kidogo hawana Ubishi mwingiii....nyie wanaume mmenielewa? Nauliza mmenielewa?
NB:Likizo ndo imeanza msiponipa Kaz ya kufanya hakika mie ndo nitawapa. siku njema wapendwa😘😉
Kalioni itakuwa🤣Unataka kupush ajenda gani? Tushikwe wapi