Taafikiane hili kwanza

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
37,436
Reaction score
92,227
Mapenz ni starehe Wala siyo ugomvi.....na unapoenda kuonana na mwenzio unajua kabisa waenda kustarehe.....sasa tukubaliane kwenye faragha zetu ni ruksa kushikwa popote Ili mradi tu najisikia vizuri kufanya hivyo

I mean tusipangiane pa kushika... wanawake wastaarabu kidogo hawana Ubishi mwingiii....nyie wanaume mmenielewa? Nauliza mmenielewa?

NB:Likizo ndo imeanza msiponipa Kaz ya kufanya hakika mie ndo nitawapa. siku njema wapendwa😘😉
 

Wapi huko wanaume wanaleta ubishi kushikwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…