Taa za Solar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taa za Solar

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Dingswayo, Mar 2, 2012.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika na kupanda gharama za bei ya mafuta, umeme wa solar ndio njia mbadala wa kujipatia mwanga pindi giza liingiapo. Kwa mtaji kidogo unaweza kumaliza kabisa shida ya kukaa gizani. Kuna aina nyingi za matumizi ya umeme wa solar kutegemea na mahitaji yako, hata hivyo kama ni kwa matumizi ya mwanga hili linawezekana kabisa. Picha hizi zinaonyesha kit ya kujipatia mwanga nyumbani pamoja na matumizi ya ku charge simu.


  Solar 1.jpg Solar 2.jpg Solar 3.jpg
   
Loading...