Taa ya solar (A portable solar lamp)

Taa ya solar (A portable solar lamp)

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,252
Reaction score
11,648
Nahitaji taa inayotumia mionzi ya jua ambayo inahamishika (a portable solar lamp) yenye uwezo wa kutoa mwanga kwa muda usiopungua masaa 6. Inaweza kuwa ya buld moja au zaidi, kwa matumizi ya muda mfupi katika mazingira ambayo hakuna umeme wa vyanzo vingine.

Kama kuna mwenye taarifa ya mahali zinapopatikana hasa hasa katika miji ya Mwanza na Dar basi naomba anijulishe.
 
Hi!
Zpo kwa bei nafuu kbs zinatok nje.awali zilikuw 27000 mpk 38000 kwa kubwa.nichek kwa 0719203333.
Thnc!
 
View attachment 173670 1406448154549.jpg hiyo kama chemli 25000 hicho cha duara katikati 15000 hiyo ya mwisho ina panel ndogo waweza chaji na cm kwa dharura 40000
 
Nahitaji taa inayotumia mionzi ya jua ambayo inahamishika (a portable solar lamp) yenye uwezo wa kutoa mwanga kwa muda usiopungua masaa 6. Inaweza kuwa ya buld moja au zaidi, kwa matumizi ya muda mfupi katika mazingira ambayo hakuna umeme wa vyanzo vingine.

Kama kuna mwenye taarifa ya mahali zinapopatikana hasa hasa katika miji ya Mwanza na Dar basi naomba anijulishe.
Kama uko mwanza nenda Zara solar opposite na Ashiraff House/building au msikiti Wa Ijumaa. Kubwa ambazo ndo nzuri kabisa wanauza laki na nusu.
 
Ahsante sana,

Nitapifika hapo J5 kama haitakuwa siku kuu!
 
Naomba tuwasiliane ili kesho nije kuchukua moja.
 
Duh, si ungeniambia nikupe solar king ya mmarekani yenye kuweza kuwaka mpaka masaa 36. Pia ina port mbili za kucharge simu na tablet

Warrant ni 5 years, ila iko juu; sh 75,000 isiyoweza kicharge simu ni sh 25,000 na ina up to 30 hrs za kuwaka.

A small system yenye taa 4, port 2 za simu na moja ya radio inauzwa 280,000/=
 
Warrant ni 2 years, ila iko juu; sh 75,000 isiyoweza kicharge simu ni sh 25,000

naomba namba zako
 
Mkuu uko mkoa gani nikusake nichukue hiyo?
 
Dar, Kigoma na Tabora kote niko. You can call kwa Dar no 0757174445

Warranty ni 5 years not 2.

Thanks in advance mkuu, in case nikiwa mwanza, mzigo nitaupataje?
 
Duh, si ungeniambia nikupe solar king ya mmarekani yenye kuweza kuwaka mpaka masaa 36. Pia ina port mbili za kucharge simu na tablet

Warrant ni 5 years, ila iko juu; sh 75,000 isiyoweza kicharge simu ni sh 25,000 na ina up to 30 hrs za kuwaka.

A small system yenye taa 4, port 2 za simu na moja ya radio inauzwa 280,000/=

picha ya hizo products ndugu...
 
Thanks in advance mkuu, in case nikiwa mwanza, mzigo nitaupataje?

Naweza kukunganisha na dealer wa mwanza (simjui bado, lkn ukinipa a day or two naweza mpata) otherwise nikutumie kwa basi ila gharama ya usafiri itakuhusu.
 
Back
Top Bottom