Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
picha ya hizo products ndugu...
Niko na simu, ila kama hautajali; google 'sunking pro2' utaziona hizo lamp za 75,000/
picha ya hizo products ndugu...
Naweza kukunganisha na dealer wa mwanza (simjui bado, lkn ukinipa a day or two naweza mpata) otherwise nikutumie kwa basi ila gharama ya usafiri itakuhusu.
Duh, si ungeniambia nikupe solar king ya mmarekani yenye kuweza kuwaka mpaka masaa 36. Pia ina port mbili za kucharge simu na tablet
Warrant ni 5 years, ila iko juu; sh 75,000 isiyoweza kicharge simu ni sh 25,000 na ina up to 30 hrs za kuwaka.
A small system yenye taa 4, port 2 za simu na moja ya radio inauzwa 280,000/=
Wakuu, hizi solar lamps zinapatikana wapi kwa Tanga City?
Ahsante sana Kaunga kwa hii post na pia kuwa jitihada zako hadi nikapata taa,
Kusema kweli, hiyo taa imekuwa msaada mkubwa sana kwangu na ilitimiza mahitaji yangu yote kwa kipindi nilichokaa huko vijijini. Tayari nitakutafuta ili niwanunulie ndugu zangu. Zile nilizopeleka walizigombania sana!
Kama uko Tanga tuwasiliane. Naweza kukuonjesha flavor kwanza kisha tukapanga jinsi ya kuzipata toka kwa Kaunga
Taa zenyewe ni hizi hapa
Duh, si ungeniambia nikupe solar king ya mmarekani yenye kuweza kuwaka mpaka masaa 36. Pia ina port mbili za kucharge simu na tablet
Warrant ni 5 years, ila iko juu; sh 75,000 isiyoweza kicharge simu ni sh 25,000 na ina up to 30 hrs za kuwaka.
A small system yenye taa 4, port 2 za simu na moja ya radio inauzwa 280,000/=
Naomba namba zako mkuu tufanye biashara kiongozi.