Taa ya nyuma ya harrier g420 bei gani?

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,940
Naulizia bei ya kile kitaa kidogo cha chini cha harrier upande wa nyuma
Picha

๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ watu wanadhani ni kuangalia ulaji wa mafuta tu
Yani hapo nikiongeza 250000 nanunua injini mpya naweka kwenye Fekon yangu.aisee kumbe mimi nitaendesha pikipiki maisha yangu yote..โ˜น๐Ÿ˜จ๐Ÿฅบ
 
Yani hapo nikiongeza 250000 nanunua injini mpya naweka kwenye Fekon yangu.aisee kumbe mimi nitaendesha pikipiki maisha yangu yote..โ˜น๐Ÿ˜จ๐Ÿฅบ
mkuu tusikate tamaa namna hiyo๐Ÿ˜๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ