Taa ya kuwasha ina-blink tu

Taa ya kuwasha ina-blink tu

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,634
Reaction score
2,231
Habari zenu wakuu,

Kompyuta yangu (Lenovo) imepatwa na mushkeli. Inaingiza umeme na taa ya kuwasha inawaka na kuzima mfululizo lakini inashindwa ku-boot. Nimejaribu kutoa betri na kuweka tena ila tatizo bado. Nikiwasha taa ina blink lakini haiwaki.

Naomba msaada.
 
Nina lenovo mbili..zote zina same problem na sijapata solution mpaka leo
 
Back
Top Bottom