Taa Ya Ajabu

Taa Ya Ajabu

futikamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2010
Posts
243
Reaction score
13
Salaam kwenu wakuu. Tunatafuta mawakala (whole/retail sale dealers) popote nchini tufanye biashara ya usambazaji wa taa ya ajabu. Safari hii tumejipanga vyema kuitangaza. Wenye interest tafadhali tuwasilane.. 0715/785 997688.
 
Haha... Hapana mkuu. Inatoa mwanga wa kawaida tu. Karibu!
 
Inawezekana Faiza. Kama una interest tafadhali tuwasiliane kwa namba niliyotoa hapo juu. Karibu!
 
Tafadhali fafanua tufanye biashara.
 
Mkuu Kingo, ni ufafanuzi gani unahitaji?
 
taa ya ajabu kivipi? taa ya kutoa mwanga au? watts ngapi? inatumia solar, tanesco au betri za kawaida? yan uajabu wake ni upi hasa? heb mwaga nyuz si unajua umeme umepanda bei?
 
Asante mkuu,
Kama si usumbufu kwako, nilishapost matangazo mengi tu hapa kuhusiana na hii taa ya ajabu. Ebu search utaona.
Karibu
 
Wewe ndio unaefanya Marketing halafu watu waanze ku search? si mwaga data hapa. Halafu haya mambo ya PM ya nini na wewe unafanya marketing? Weka vitu hadharani halafu tetea bidhaa yako. Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.

Social media is a great way to market your business for little or no money. But it's not something you can set up and walk away. You have to invest time in order to see rewards. It's important to engage with your followers regularly and to be consistent with your interactions. The more you do this, the more likely you are to sell your products and services.
 
FF ni rahisi sana kumsadia mjinga utamwelewesha na atakuelewa kuliko kuanza kujadiliana na mpumbavu kama huyu ambaye hajui kama anauza kibatari,mwenge, chemli,solar, vijinga vya moto,taa za betri yeye anataka watu wampm. Kwani tunatongozana hapa!? Kama ni biashara ajimwage uwanjani kama wenzake sio mashairi ya kutongezea ma haouse girl hapa.
 
acha kuwa na mdomo mchafu....
 
Inavyoonekana hapa kuna biashara za siri. Haya sie yetu macho tu.
 
DSC04988.JPG CB_New.jpg
HII NDIO TAA YA AJABU!!

  • Haitumii Betri
  • Haitumii Jua
  • Haitumii mafuta ya aina yeyote
  • Unazungusha dk 1 unapata mwanga kwa saa nzima
  • Inachaji simu pia
  • Waranti ya mwaka mmoja
Bei ni Tshs: 40,000/= tu!
Kwa wale wanaotaka kuwa dealers wetu, bei ni mapatano.

Tupo Mbezi Beach - Samaki. Upande wa kulia wa kituo cha daladala kama unatokea town au upande wa kushoto kama unatokea tegeta.
Kwa wale wanaodhihaki tangazo langu, samahani kwa usumbufu. Nilikuwa natumia mobile ku-post tangazo hili kwa hiyo ilikuwa ni vigumu kuweka details nyingi. Kwa wenye maswali zaidi nipo kwa ajili yenu.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom