Taa ya ajabu.. Sasa inachaji simu pia!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taa ya ajabu.. Sasa inachaji simu pia!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by futikamba, Feb 20, 2011.

 1. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hello JF,
  Sasa taa ya ajabu inachaji Simu pia!!

  • Haitumii Betri
  • Haitumii umeme wa jua
  • Haitumii Mafuta ya Taa/Petroli/Dieseli
  • Waranti ya mwaka mmoja kwa kila manunuzi.
  • Ndogo na inabebeka
  CIMG0245.JPG
  Crank Box
  Inawasha taa kwa muda wa saa 1 kwa kubonyeza tu. Heh! Inachaji Simu pia.

  Kwa TZS 20,000/= Unaweza kupiga simu na kupata mwanga wakati wowote na mahali popote kwa kubonyeza tu.

  Je unahitaji kuwa wakala kwa bidhaa hii?
  Wasiliana nasi
  Tel: +255 222 618 217
  Mobile: 0653 297681 au 0715 997688
  E-mail: tanhompowersys@gmail.com

  Je Unahitaji bidhaa hii?!
  Tutembelee, Tupo mbezi Beach - Samaki Karibia kabisa na kituo cha daladala.
  Karibuni.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hivi hizo taa ndio kama zile zilizokuwepo kwenye vyumba vya kuhesabia kura?
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Mkuu zimepanda bei?
   
 4. P

  Pokola JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Baada ya kutumika kwa saa moja, kinatokea nini?
   
 5. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu hizi ni tofauti na hizo. Karibu tutembelee ujionee mwenyewe kama upo DSM
   
 6. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapana mkuu wangu.
  Bei ya taa za mwanzo ni ile ile 15,000/=. Hii taa ni mpya, inachaji simu ndio maana bei yake ni 20,000/=.
  Karibu sana dukani kwetu...
   
 7. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu kama upo DSM, basi karibu Mbezi - Beach Samaki ili ujionee mwenyewe kwani "seeing is believing"!
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  sasa ambao hatupo dar na hatupajui tutaonaje ili tuamini?
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  baada ya saa moja kinachofata nn?
   
 10. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  nadhani ina kitu kama dynamo unacrank kurecharge upya
   
 11. J

  Jizo Member

  #11
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  zinachaji simu kwa masaa mangapi?
   
 12. J

  Jizo Member

  #12
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Zinacha siku nzima nini?
   
Loading...