Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,467
- 513
Umuhimu utajua ukiwa na gari usiku.Ni kweli mkuu,hata mm nimeshangaa kukutana na foleni kubwa sinza kijiweni/kwa wajanja,kumbe wameweka trafic light ambazo sijaona umuhimu wake.
Bora umeliona hili!! Mimi nimeliona kuanzia Jana na kuona kabisa Tanroads kuna mambo mengine wanayafanya bila kuzingatia weledi na gharama kubwa iliyotumika kuwekeza hapo ubungo na sio kusogeza taa mbele!Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali kwa kukamilisha interchange ya Kijazi, (Dar kama New York). Sasa kuna hizi taa zimewekwa mpya kuingia kituo cha mawasiliano, naona zinaenda kurudisha foleni ambayo ilishaisha, naomba Tanroads wafanye utafiti tena wa hizi taa isije ikawa tunarudisha tatizo ambalo tulishalitatua.
Halafu Polisi wakiwa hapa eneo la Mlimani City siku wakiwepo kunakuwa na foleni kali, wasipokuwepo barabara inakuwa nyeupe watu wanawahi kazini, yaani ghafla foleni, watu wanachepuka service road, wanaliwa kichwa, ha ha haaa.
Soma majibu yangu kwa utatuzi na sio kulalamika.Umuhimu utajua ukiwa na gari usiku
Hapo kwenye namba 1.Bora umeliona hili!! Mimi nimeliona kuanzia Jana na kuona kabisa Tanroads kuna mambo mengine wanayafanya bila kuzingatia weledi na gharama kubwa iliyotumika kuwekeza hapo ubungo na sio kusogeza taa mbele!!
Niwape utatuzi wa pale
1: Kama unatoka ubungo unatakiwa kuwekwa taa ya kuingia kulia na kurudi uelekeo wa ubungo na kituo cha simu200, na wakati huo wanaokwenda uelekeo wa mwenge wanatakiwa pia waruhusiwe(Pale kwa uhalisia hakuna wavukaji wengi wa miguu)
2: Wanaotoka Mwenye uelekeo wa ubungo wanatakiwa kuzuiwa kwa muda na hiyo taa kupisha wanaogeuza kutoka ubungo kuelekea simu2000
3: Watu wote kutoka mwenge kuingia kulia wazuiwe na kutakiwa kwenda hadi ubungo - morogoro road junction na kufanya u-turn kurudi mwenge na kuingia kushoto! Yaani chuo kikuu
4: Haya mambo tuna majibu ila tupo huku nje tunaangalia tu (haraka wafanye Ninayopendekeza waone matunda)
Huna haja ya kuzuiwa wanaotoka ubungo kwenda mwenge
Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali kwa kukamilisha interchange ya Kijazi, (Dar kama New York). Sasa kuna hizi taa zimewekwa mpya kuingia kituo cha mawasiliano, naona zinaenda kurudisha foleni ambayo ilishaisha, naomba Tanroads wafanye utafiti tena wa hizi taa isije ikawa tunarudisha tatizo ambalo tulishalitatua.
Halafu Polisi wakiwa hapa eneo la Mlimani City siku wakiwepo kunakuwa na foleni kali, wasipokuwepo barabara inakuwa nyeupe watu wanawahi kazini, yaani ghafla foleni, watu wanachepuka service road, wanaliwa kichwa, ha ha haaa.
Kwa uhalisia wote wanaokwenda mwenge wanatakiwa kugeuzia ubungo pale na kurudi na sum nujoma kuna njia ya kugeza IPO na taa zipo sio tatizo! Kwa gharama iliyotumika pale kikubwa ni kupunguza intersection sasa hawa watu wameziongeza!! Sasa foleni itapunguaje!? HadI huzuni!! Unaruka halafu unashukia kwenye taa sio sawa na ukizingatia gharama kubwa hiyo! Yaani namaanisha right turn iwe ubungoHapo kwenye namba 1.
Mkuu wakiruhusiwa wanaokwenda mwenge na wakati huo huo kuna wengine wanatoka Simu2000 kuelekea mwenge wataingiaje? Nadhani ndio maana wanasimamishwa wote ili wanaotokea ubungo na kukata kulia kwenda Simu2000/Ubungo(kurudi) then wakimaliza ndio wanaruhusiwa wanaotokea Simu2000 kwenda Mwenge. Mimi kwa akili yangu nimeelewa hivyo.
Hawajajifunza Ubungo mataa ilivyobadilishwa kuwa Ubungo round about?Ni kweli mkuu, hata mm nimeshangaa kukutana na foleni kubwa Sinza kijiweni/kwa wajanja,kumbe wameweka trafic light ambazo sijaona umuhimu wake.
Eti wanatumia vyema kodi za watanzaniaHawajajifunza Ubungo mataa ilivyobadilishwa kuwa Ubungo round about?