Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,467
- 513
Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali kwa kukamilisha interchange ya Kijazi, (Dar kama New York). Sasa kuna hizi taa zimewekwa mpya kuingia kituo cha mawasiliano, naona zinaenda kurudisha foleni ambayo ilishaisha, naomba Tanroads wafanye utafiti tena wa hizi taa isije ikawa tunarudisha tatizo ambalo tulishalitatua.
Halafu Polisi wakiwa hapa eneo la Mlimani City siku wakiwepo kunakuwa na foleni kali, wasipokuwepo barabara inakuwa nyeupe watu wanawahi kazini, yaani ghafla foleni, watu wanachepuka service road, wanaliwa kichwa, ha ha haaa.