Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,363
- 11,519
Hakurudishia vizuri mfumo wa brek. Mrudishie tena.ABS inawaka ilitokea tu nlipeleka kwa fundi akarekebishe kwenye miguu kulikuwa kunapiga kelele...kukawa sawa kuchukua gari inawaka Taa ABS. hakunipa maelezo yanayoeleweka. Sitaki tena mrudishia.
Mfumo wa break tulibadilisha ule mtungi wake na kile kikombe cha kuwekea mafuta ya break. Taa sasa inawaka sometime inazima...but nikicheck fluid ipo ya kutosha nini could be a reason?
I'm open minded kwenye hili. Hebu nielezee kidogo why sio ishu saana?Taa ya ABS sio inshu saaaana,,ukijua maana ya ABS utagundua sio big deal kiviiile.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unajua maana ya ABS?ABS inawaka ilitokea tu nlipeleka kwa fundi akarekebishe kwenye miguu kulikuwa kunapiga kelele...kukawa sawa kuchukua gari inawaka Taa ABS. hakunipa maelezo yanayoeleweka. Sitaki tena mrudishia.
Mfumo wa brake tulibadilisha ule mtungi wake na kile kikombe cha kuwekea mafuta ya break. Taa sasa inawaka sometime inazima...but nikicheck fluid ipo ya kutosha nini could be a reason?
Taa ya ABS sio inshu saaaana,,ukijua maana ya ABS utagundua sio big deal kiviiile.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Abs = anti-lock braking systemABS inawaka ilitokea tu nlipeleka kwa fundi akarekebishe kwenye miguu kulikuwa kunapiga kelele...kukawa sawa kuchukua gari inawaka Taa ABS. hakunipa maelezo yanayoeleweka. Sitaki tena mrudishia.
Mfumo wa brake tulibadilisha ule mtungi wake na kile kikombe cha kuwekea mafuta ya break. Taa sasa inawaka sometime inazima...but nikicheck fluid ipo ya kutosha nini could be a reason?
Mi nilitembelea gar yangu baada ya kuchukua japan nilipiga tuta mikumi ikawaka hadi nauza bado taa ilikuwa inawaka licha ya kufanya marekebisho
Hebu tafuta gari yenye ABS halafu nenda kama 120, kwenye kona fanya kupiga breki ili mwendo upungue tu. Halafu tafuta ilokuwa haina ABS halafu rudia experiment...... Ndio utajua ABS ina umuhimu ganiTaa ya ABS sio inshu saaaana,,ukijua maana ya ABS utagundua sio big deal kiviiile.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha kumpotosha mwenzako...waliotengeneza gari si wajinga mpaka wakaweka....Taa ya ABS sio inshu saaaana,,ukijua maana ya ABS utagundua sio big deal kiviiile.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha kumpotosha mwenzako...waliotengeneza gari si wajinga mpaka wakaweka....
utakapokanyaga brake za gafla kwenye lami iliyolowa maji ya mvua ndiyo utajua ABS ni ishu sana au si ishu saana....
ABS inasaidia gari lisiserereke pale unapopiga brake za ghafla hivyo inaongeza usalama wa brake zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Scotty Kilmer ndiyo muundaji wa magari yote unayoyaona yakitembea??Kama wewe unajua kuliko Scotty kilmer sawa,endelea kuhangaika na ABS kwny ki nissan note.
Sent from my iPhone using JamiiForums
brake shoes ndio zile zinazoshika brake plate au zipoje hizo shoes chief?ABS ni Ant lock Braking System au CAB (Controller Anti-lock Brake). Hii kumbuka imeunganishwa na electronic control unit(ECU) pamoja na Hydraulic valve kwenye mfumo wa Brake . (ECU) ndio ina control Hydraulic Pressure kwenye Brake system. Mfano ikitokea Tairi mmoja ya Gari speed ikawa ni ndogo yenyewe ina punguza Pressure kwenye hlo tairi hili matair yote yawe na Mwendo sawa. Hii ina umuhimu sana kwenye Mfumo mzima wa Brake. Hii ina saidia Break ziachie/Zisinganganie tyres wakat umeachia Brake pedal. Kama hyo taa inawaka kujua kuna kipind utafika ukiapply Brake. Brake shoes zitangangania Tairi au utakua unaua sana Brake shoes.
Yap ndio hzo mkuubrake shoes ndio zile zinazoshika brake plate au zipoje hizo shoes chief?