TAA hiki ni nini.....?

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,320
18,843
Aibu zingine waTanzania tunajitakia.......
Kweli hili ni bango la kusema ndio unaingia uwanja wa kimataifa namna hii......?.....mmekuwa mkipishana angani kwenda kwenye viwanja vya wenzenu.....hamuwezi kutoa mifano huko......?......
Muonekano wa mwenye nyumba huanza kuthaminiwa kuanzia mlangoni.......hebu rekebisheni haya mambo bana......Hilo bango ni baya sana......

image-jpeg.317406
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    151.4 KB · Views: 172
Ubaya wake nini Preta? Wenzio tunaangalia change tu na hapa kazi tu! Tena kama designer ni kwanamume kazi yake ni kuhakikisha balance inakidhi walau miezi 3!
 
Aibu zingine waTanzania tunajitakia.......
Kweli hili ni bango la kusema ndio unaingia uwanja wa kimataifa namna hii......?.....mmekuwa mkipishana angani kwenda kwenye viwanja vya wenzenu.....hamuwezi kutoa mifano huko......?......
Muonekano wa mwenye nyumba huanza kuthaminiwa kuanzia mlangoni.......hebu rekebisheni haya mambo bana......Hilo bango ni baya sana......

Warekebishe tu kwa sababu halikidhi ladha yako? Kama ni hivyo basi watarekebisha mangapi kama kila mtu akitaka hivyo?
 
Preta, ningekuelewa vizuri zaidi kama ungeweka pia bango la nchi nyingine la kutangaza uwanja wao wa kimataifa wa ndege ili uniaminishe kwamba hilo la kwetu ni below standard.
 
Preta, ningekuelewa vizuri zaidi kama ungeweka pia bango la nchi nyingine la kutangaza uwanja wao wa kimataifa wa ndege ili uniaminishe kwamba hilo la kwetu ni below standard.

Kwako wewe unaona lipo poa......?.....
 
Warekebishe tu kwa sababu halikidhi ladha yako? Kama ni hivyo basi watarekebisha mangapi kama kila mtu akitaka hivyo?

Hiyo ni international airport......kuna kodi lukuki zinalipwa hapo.......bango tu lishindwe kupendeza.....?....
 
Hapa Africa watu wanawaza matumbo yao hawana mda na designing wala future generation!!.... Hapo ilipigwa hela, ukiona watu wanaburuza matumbo ujue inatokana na dili kama hizo!!... Afrika akili zetu zipo kwenye matumbo badala ya kichwani, ni aibu and shame enough all these cost will be paid by our future generations!!!
 
Hili ni bango alright kabisa. Pale juu ya bango apparently ni Mt Kili na siyo kipande cha mbao or whatever kilichochomoza. That protruding bit only needs some repainting work ionekane kama Mt Kili.
 
Hili ni bango alright kabisa. Pale juu ya bango apparently ni Mt Kili na siyo kipande cha mbao or whatever kilichochomoza. That protruding bit only needs some repainting work ionekane kama Mt Kili.

Alrite.....sasa ndio umenifungua akili......kama idea ilikuwa ni hiyo.....wapo sahihi kabisa.......lakini wao wenyewe hawaoni kuwa linachekesha......?....muhusika kwa nini hawajibiki.......?.....
 
Preta, kweli hii ni aibu ya kimataifa, 100% sub-standard...!

Inatakiwa tufike mahali tuwe serious......
Kumbe nia ilikuwa kuonyesha ni mlima.......na kingewekwa vizuri kingevutia sana.......
 
Theory ya bongo huwa ni moja tu, "Chukua chako mapema hata kwa haramu, porojo za kupendezesha kazi waachie ughaibuni
#BongoLand
 
Ulitakiwa utoe kasoro ya bango maana wengine hawawezi kuona kama lina makosa. Binafsi nilidhani labda kuna spelling mistakes, lakini naona poa tu. Kasoro ninazoziona mimi ni:
  • Kokosekana kwa indentation/margin kwenye maneno "KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT". Herufi K na T mwanzoni na mwishoni (mtawalia) katika maandishi haya unabidi utumie 'tochi' kuziona.
  • Naona lengo lao lilikuwa kuwaonyesha watalii muonekano wa Mlima Kilimanjaro kwa kutumia bango. Katika hili wameshindwa vibaya maana hakuna kitu cheusi katika kilele cha mlima Kilimanjaro.
  • Pia mstari wa njano unaotenganisha banner ya juu yenye maandishi na ile ya picha umepinda. Huu ni uzembe. Ni kama kazi ilifanya na fundi rangi za nyumba.
Kiujumla, hii ni amateurish work. Preta, you can thank me someday when we meet in Arusha.
 
Back
Top Bottom