Taa aina ya karabai inafanyaje kazi?

Taa aina ya karabai inafanyaje kazi?

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,944
Reaction score
810
Anayejua jinsi taa ya karabai inavyofanya kazi atupe maujuzi
f0f60d20ba3953355974fa0c06a8c341.jpg
Taa ya Karabai..jpg
613480.jpg

mafuta ya taa kwenye mtungi yanakuwa na Pressure (Mgandamizo mkubwa sana); pale yanapotoka panakuwa na upenyo mdogo sana , na kabla yakutoka yanapita kwenye COIL ambayo coil yenye imezunguka (Sorrounding) ule utambi uanaowaka ambapo utambi huo unaowaka unayapasha joto kali sana yale mafuta ya taa, na kutokana kwamba yale mafuta ya taa yanakuwa na Pressure kubwa sana, yanapotoka katika ule upenyo (Nozzle) mdogo yakiwa na joto kali, yanatoka kama Mvuke (Vapour) au kama vile Sprayed liquid. ndipo yanalipuka katika kiwango cha juu cha ufanisi kiasi kwamba hakuna mafuta yanayobaki bila kuungua na kuacha moshi.

Kitu cha muhimu zaidi katika Karabai, ni yale mafuta yanavyopashwa joto kwenye ile coil kabla ya kutoka kwenye ile sindano (Nozzle). N a ndio maana wakati wa kuwasha karabai, unawasha kwanza moto aidha kwa kutumia Spirit kwanza, na lengo la kuwasha moto pale ni kupasha yale mafuta kwenye coil, na baada ya kuwaka basi ule utambi utaendelea kupasha mafuta wenyewe.

Scenario hii inafanana kiasi fulani na ufanyaji kazi wa Engine za Diesel, ambapo heater inapasha mafuta kwanza kabla hayajaachiliwa na kukutana na spark ambapo hulipuka na kusababisha mjongeo wa Piston.

kwanza hakikisha taa ina mafuta, weka spirit kiasi kwa ndani , chini ya ule utambi washa ile spirit iwake kwa muda hata zaidi ya dakika 10 kutokana na ukubwa wa moto wenyewe, Anza kujaza Pump , utaanza kuona taratibu ule utambi unawaka kama mwenge na kutoa moshi endelea kujaza pump na ule utambi utaanza kung'ara taratibu kutokea njano-->wekundu hadi kuwa mweupe. Ukishang'aa weupe endelea kujaza pump kiasi cha hewa ya ziada.

kama utambi ni mpya au kama karabai ni mpya, ule utambi unakuwa teketeke kama utumbo, lakini baada tu ya kuuwasha kwa mara ya kwanza , basi utambi unabadilika na kuwa mgumu kama biskuti, yaani ukicheza nao tu au kugongesha karabai, basi utambi ule unavunjika.

Tulitumia hii kitu nikiwa mdogo hadi leo naipenda----

Labda kwa kuongezea tu ni kwamba ule utambi unakuwa unaning'inia kwa juu wakati kitrei cha kuwekea spirit kipo kwa chini.
Ule utambi unavyoning'inia kwa juu kuna kama bomba ambalo hutokea kwenye tenki la mafuta pale chini.

Sasa hapo ni kuwa ukiwasha ile spirit itawaka kama moto wa karatasi tu then utaanza kupampu kwa kupitia pampu maalumu ipo pembeni pale kwenye tenki la mafuta. Kadiri unavyopamp unatengeneza mkandamizo kutoka kwenye tenki kwenda kwenye utambi.

Sasa kuhusu chemli, chemli yako ikiwa safi unaweka mahala pake ila sasa kuna tundu linakuwa pembeni karibu na kitrei cha spirit kubwa kuweza kupitisha sirinji ya sindano. Sasa hapo wewe unaweka spirit yako kwenye sirinji halafu unamwagia pale kwenye kitrei kile kupitia kitundu kile.

Pia kupitia kitundu kile utarushia njiti ya kiberiti kwenye kitrei kile ambapi kitadaka moto then ndio unaanza kupamp sasa kujaza presha ili iweze kuchoma mafuta na kuwaka kwa ufanisi.
 
Na hatua za uwashaji wake je?
 
-----tulitumia hii kitu nikiwa mdogo hadi leo naipenda----
 
Sasa hivi imekuwa historia na ile kitu inaitwa stove nadhani inafanya kazi kwa utaratibu uleule kama wakarabai, kwa sasa hii kitu utaalamu umebaki kwa familia za wavuvi wanaokwenda kutegea samaki na tunakoelekea wengine watatumia taa za kucharge au za solar zile za Wachina na ndipo tutakapo sahau hii kitu inaitwa karabai
 
Hiyo spirit unaiweka sehemu gani? Na je wakati unaiweka unakuwa umeifungua karabai kwa juu? Na je utambi mpya unatumika mara ngapi baada ya kuizima taa kwa mara ya kwanza?
 
mkuu hapo navyokumbuka ilikuwa inafunguliwa halafu kuna kama Tray kwa chini ya utambi ambapo ndio unamwaga spirit hapo , pia enzi hizo kuna pombe ya pakiti (No. 1) ilikuwa inafaa kutumika badala ya spirit. Kuhusu utambi unatumika mara ngapi sina uhakika, ila ulikuwa unabadilisha unapotoboka, ingawa hata ukitoboka kidogo bado unaweza kutumika.
 
Mkuu utambi unauwasha wakati ushaifunika taa na kama taa ikiwa imefunikwa unauwasha sehemu gani?
 
Utambi hauwashwi, unawaka wenyewe pale unapowasha spirit. Unaanza kuwaka kama mwenge na baadae unang'aa
 
Labda kwa kuongezea tu ni kwamba ule utambi unakuwa unaning'inia kwa juu wakati kitrei cha kuwekea spirit kipo kwa chini.
Ule utambi unavyoning'inia kwa juu kuna kama bomba ambalo hutokea kwenye tenki la mafuta pale chini.

Sasa hapo ni kuwa ukiwasha ile spirit itawaka kama moto wa karatasi tu then utaanza kupampu kwa kupitia pampu maalumu ipo pembeni pale kwenye tenki la mafuta. Kadiri unavyopamp unatengeneza mkandamizo kutoka kwenye tenki kwenda kwenye utambi.

Sasa kuhusu chemli, chemli yako ikiwa safi unaweka mahala pake ila sasa kuna tundu linakuwa pembeni karibu na kitrei cha spirit kubwa kuweza kupitisha sirinji ya sindano. Sasa hapo wewe unaweka spirit yako kwenye sirinji halafu unamwagia pale kwenye kitrei kile kupitia kitundu kile.

Pia kupitia kitundu kile utarushia njiti ya kiberiti kwenye kitrei kile ambapi kitadaka moto then ndio unaanza kupamp sasa kujaza presha ili iweze kuchoma mafuta na kuwaka kwa ufanisi.
 
Sasa hivi imekuwa historia na ile kitu inaitwa stove nadhani inafanya kazi kwa utaratibu uleule kama wakarabai, kwa sasa hii kitu utaalamu umebaki kwa familia za wavuvi wanaokwenda kutegea samaki na tunakoelekea wengine watatumia taa za kucharge au za solar zile za Wachina na ndipo tutakapo sahau hii kitu inaitwa karabai

Mkuu nimetumia hizo taa za solar lakini nimeona hazina mwanga wa kutosha nimeamua nitumie karabai maana mwanga wake kama mchana vile sasa maelekezo ya wadau yatanisaidia sana
 
Kuna siku nilipita dukani nikaona karabai, nilisimama dakika kadhaa nikiitafakari..

Kweli OLD IS GOLD,
 
Mkuu nimetumia hizo taa za solar lakini nimeona hazina mwanga wa kutosha nimeamua nitumie karabai maana mwanga wake kama mchana vile sasa maelekezo ya wadau yatanisaidia sana
Hizo ni bonge ya taa ila nina wasiwasi kama zilizopo madukani kwa sasa kama zipo zina ubora ule wa zamani kama sio kulipukiwa
 
Utambi hauwashwi, unawaka wenyewe pale unapowasha spirit. Unaanza kuwaka kama mwenge na baadae unang'aa

Nimeona wavuvi wanaiwasha bila ya kutumia spirit yaani ule utambi wanaulowanisha na mafuta ya taa
 
Back
Top Bottom