Yawezekana kupata kitu cha aina hii?...na maandishi yake?
![]()
Yawezekana kupata mkuu,sema unataka kiasi gani na budget yako ikoje..? Nione namna ya kukusaidia..? Wewe uko wapi sasa.? Maana mambo ya pesa yanaenda kipesa.!
Thread orijino imeeleza nilipo broda!...Tafadhali ajuaye mahala naweza kuzipata na kuprint Tshirts quality kwa bei nafuu hapa Arusha. Natambua uwepo wa A TO Z, lakini quality za Tshirts zao sizo ninazohitaji.
Tafadhali.
Arusha ni jina la mkoa,inawezekana upo wilayani, au hata kama ni hapa Arusha mjini labda Moshono,Mbauda,Sekei nk.Any way asante kwa majibu mazuri na nimekuelewa mkuu.!Thread orijino imeeleza nilipo broda!...
Tafadhali ajuaye mahala naweza kuzipata na kuprint Tshirts quality kwa bei nafuu hapa Arusha. Natambua uwepo wa A TO Z, lakini quality za Tshirts zao sizo ninazohitaji.
Tafadhali.
Tafadhali ajuaye mahala naweza kuzipata na kuprint Tshirts quality kwa bei nafuu hapa Arusha. Natambua uwepo wa A TO Z, lakini quality za Tshirts zao sizo ninazohitaji.
Tafadhali.
Yawezekana kupata kitu cha aina hii?...na maandishi yake?
![]()
Good lucky guys.