T-shirt za dr slaa

T-shirt za dr slaa

Supervisor

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
559
Reaction score
208
Nawashauri CDM wachapishe t-shirt zenye picha ya Dr Slaa na nembo ya flag ya Tz then ziuzwe na zivaliwe na wafuasi wa CDM ambao ni 64% kuonesha kuwa walimchagua.
 
Nawashauri CDM wachapishe t-shirt zenye picha ya Dr Slaa na nembo ya flag ya Tz then ziuzwe na zivaliwe na wafuasi wa CDM ambao ni 64% kuonesha kuwa walimchagua.

great thinker, great thinking.

tunazivaa kwa mbwembwe zote within all these 5 years. kila kona, kila mtaa.
 
:whoo:

Niwekewe Order ya tatu tafadhari.

Moja ya kwangu

Nyingine ya Wife

Nyingine ya Chalii wangu ambae ukinyoosha dola gumba tu anakunja uso
, ukinyosha double finger anakupigia makofi
 
tatizo idea nyingi zinazo tolewa humu zinaishia hapa hapa....
 
Yes, ASAP zimechelewa. Best thinking, tena watapata mapato ya chama sana tu
 
Nimepata kalenda kwanza, ila tshirt pia mhimi sana, quality mhimu na bei iwe ya kawaida
 
Jambo la mbolea sana hilo nilipoona hii thread nimeifungua kwa spidi nikijua unanitaarifu zinapatikana mahali fulani. Anywa nadhan tangu ujiunge na JF leo ndio umetoa wazo la maana zaidi. Big up sana. Mimi ntahitaji tshir 8 moja ya kwangu nyingine za wadogo za na za wazee maana familia nzima tulipigia chadema. Ila nashauri ziwe zinye kiwango cha kutosha sio kama zile za CCM unavaa siku mbili zinachanika.kitu kingine nashauri watengeneze tshirt za round na zile zenye kora ila kuwapa watu uhuru wa kuchagua..pia wasisahau kuweka rangi ya bendera ya chadema na double fingers....Peopleeeeee's......powerrrr..
 
Hizo kalenda zinapatikana wapi? Mi nahitaji na kofia ya kujikinga na jua.
 
Safi Sana, T shirt zije Haraka.

Nilinunua Kalenda 2, moja hapa nyumbani mjini na nyingine nyumbani Kijijini.

Tutazipataje hizo Tshirt?
 
Good thinking.hii itazidi kuwavuruga ccm psychologically.
 
Jambo la mbolea sana hilo nilipoona hii thread nimeifungua kwa spidi nikijua unanitaarifu zinapatikana mahali fulani. Anywa nadhan tangu ujiunge na JF leo ndio umetoa wazo la maana zaidi. Big up sana. Mimi ntahitaji tshir 8 moja ya kwangu nyingine za wadogo za na za wazee maana familia nzima tulipigia chadema. Ila nashauri ziwe zinye kiwango cha kutosha sio kama zile za CCM unavaa siku mbili zinachanika.kitu kingine nashauri watengeneze tshirt za round na zile zenye kora ila kuwapa watu uhuru wa kuchagua..pia wasisahau kuweka rangi ya bendera ya chadema na double fingers....Peopleeeeee's......powerrrr..

Poa Baba Tina kwa kuipenda thread hii
 
CDM should immediately act on this to prevent business opportunists (most probably RA & EL) from ripping us off! Good idea.
 
Thats great! It soothes to have a feeling that, despite the what CCM have done and continue to do, wazalendo wa kweli wanaendelea kuwa na ari ya kupigania nchi yao. Hawakati tamaa. Wanakuja na Ideas ambazo ni mchango mkubwa katika mapambano yanayoendelea.
 
Back
Top Bottom