T shirt za chadema

T shirt za chadema

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
174
Bandugu habari zenu, kwa sasa nipo mwanza mjini hapa, kwa yoyote mwenye kujua sehemu ambayo tshirt za chadema zinapouzwa aniagize hasa zile zenye neno M4c
 
Tshirt za Chadema

Zipo makao makuu na ni shs 15,000/= tu.material yake yako poa sana mzee.
 
ok, makao makuu yepi hayo? Na ni mwanza sehemu gani?
 
jaribu kucheki na makao makuu ya kanda huko mwanza ukikosa mtume nduguyo aliyepo dar atakuchukulia then atakutumia.
 
Back
Top Bottom