Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Karibu Kamanda upendeze.
Ni kosa kuwa na T-shirt iliyoandikwa UKUTA according to Kamanda Sirro kazikamata juzi,Ubunifu unaendelea......
Things speak by themselves.Mbona neno Uchwara silioni hapo?
Hivi Raisi anajisikiaje kuona kete alichocheza kabugi maana matokeo yake ni mabaya sana... pamoja na vitisho lakini watu wana ari na shauku.... avuruge Draft tu ajifanye ulikuwa Utani kama ile kauli ya kufyatua watoto Uzazi wa Mpango tupeni kuleThings speak by themselves.
Mchoro tu unatosha.
Wamemtanguliza Mutungi kutuliza upepo.Hivi Raisi anajisikiaje kuona kete alichocheza kabugi maana matokeo yake ni mabaya sana... pamoja na vitisho lakini watu wana ari na shauku.... avuruge Draft tu ajifanye ulikuwa Utani kama ile kauli ya kufyatua watoto Uzazi wa Mpango tupeni kule
Mkuu unamaanisha Wenye akili ni Wanaotaka Uhuru wa Katiba? au Wazuiaji?Pale unaposhindanisha NGUVU na AKILI!
Wanaotaka Uhuru wa Katiba ndio wenye Akili Mkuu!Mkuu unamaanisha Wenye akili ni Wanaotaka Uhuru wa Katiba? au Wazuiaji?
Hivi When you become President you don't need Katiba kuendesha nchi ama? Sasa kama Yeye anaivunja na hakuna Mashitaka basi na wengine wakivunja waachwe...
ziprintiwe kwa gharama ya nan...?Nimeipenda sana hii, salute kwa mbunifu huyu. Naombeni zi pritiwe mara tatu ya zilizodakwa.
Hii haina kurudi nyuma. "
"wall to wall"
Gharama zawanaoprinti.ziprintiwe kwa gharama ya nan...?
Ubunifu huu ungetumika katika kubuni viwanda vidogo vidogo tungekuwa mbali sanaUbunifu unaendelea......
Labda liandikwe kwa kirumi, otherwise SIRRO atazitafuna!Mbona neno Uchwara silioni hapo?