T.shirt special kwa Kamanda Sirro

T.shirt special kwa Kamanda Sirro

Ubunifu huu ungetumika katika kubuni viwanda vidogo vidogo tungekuwa mbali sana
Vijana mitaani wanabuni vitu vingi sana kuanzia sanaa ya shanga, ngozi, vinyago, vyakula vinasindikwa kienyeji... nk, serikali iko wapi kuwaongezea ujuzi na utaalamu, kazi ya SIDO ni nini?
 
Ziwekwe Ebay tununue kwenye mitandao hadi madiaspora walio nje ya nchi wazipate
 
Hivi Raisi anajisikiaje kuona kete alichocheza kabugi maana matokeo yake ni mabaya sana... pamoja na vitisho lakini watu wana ari na shauku.... avuruge Draft tu ajifanye ulikuwa Utani kama ile kauli ya kufyatua watoto Uzazi wa Mpango tupeni kule
Anajua hao wote ni Vi...... hana hata shida nao!
 
Back
Top Bottom