T-SHIRT kwa bei nafuu

T-SHIRT kwa bei nafuu

Smokey D

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
2,632
Reaction score
2,115
Jipatie yako mapemaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20181231_004429_918.jpeg
IMG_20181231_004420_701.jpeg
IMG_20181231_004414_062.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mdada wa kwanza Kama Ni mfanyakazi wa mama Lishe mmoja 7,7 Dodoma!
 
Mmh. Na cha ajabu waeza kuta wanaomzunguka pia hawajui nini maana na ndio sababu wanazivaa bila wasiwasi mpaka na nyingina zimechakaa na kuchakaa hakuna wa kumwambia tafsiri yake kwamba iko hivi basi acha kuvaa hiyo kitu.
 
Duuh! Yabidi siku moja ukigongana naye umwambie aiseee. Hata maana tu au kama unaheshimiana naye mwambie imeshachoka hiyo tishet hivyo anunuage ingine. 😀😀
Hahahaa hahahaaaa ana mashauzi balaaa YAWEZA kuwa wengi wametamani kumwambia ila kwa mashauzi aliyonayo wameacha tu aibike
 
Na kweli japo wengine huwa hawaangalii hicho hasa kwenye hii lugha ya Malkia wanachoangalia ni rangi tu.

Kama huyo jamaa hapo kati waeza kuta ni mshabiki wa nguvu moja basi baada ya kuona tishet nyekundu basi ikamfaa. 🤣🤣🤣
Umeona eeeh, anaangalia rangi tu na kujibebea
 
Back
Top Bottom