T.B Joshua na utabiri juu ya Tanzani

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,536
2,187
Tukumbushane jamani juu ya uyu mtabiri juu ya tanzania, kuna siku moja akiwa anahubiri akajitokeza mtanzania mmoja na akamwombea na mapepo yake yakatoka, ila baada ya kumwombea akamwambia baadea wakutane ili ampatie utabiri wa nchi yetu, nadhani wengi wetu tuliona na hapa Jf ilirushwa.

Je uyu jamaa aliambiwa nini na TB Joshua, kama kuna mtu yoyote anayemfahamu uyo jamaa tafadhali atuletee mrejesho juu ya utabiri wa nchi yetu Tanzania.

Maana tunapoelekea si pazuri na mwenye akili timamu atanielewa,

Naomba mwenye taarifa juu ya uyu jamaa atujuze tafadhali.

Kinga ni bora kuliko tiba
 
CCM hata angetokea malaika kutoka Mbinguni hawawezi kuamini,kama wameshindwa kuwaamini waliokuwa viongozi wa nchi hii wanaoheshimika ndani na nje ya Nchi kama Warioba,DK.Salim,Jaji AUgustino Ramadhani,Kakobe katoa unabii hawaja uamini wataamini ujumbe toka kwa TB Joshua wa Nigeria.........
 
mku shetani akizeeka anakuwa malaika, so siku moja wanaweza amini mkuu usikate tamaa
 
t.b joshua ana utabiri gani....awatabirie wenye watoto 100 wa kike waliyotekwa hko nigeriaaaa....kwa wazazi wao jnsi ya kuwapata...
 
Tukumbushane jamani juu ya uyu mtabiri juu ya tanzania, kuna siku moja akiwa anahubiri akajitokeza mtanzania mmoja na akamwombea na mapepo yake yakatoka, ila baada ya kumwombea akamwambia baadea wakutane ili ampatie utabiri wa nchi yetu, nadhani wengi wetu tuliona na hapa Jf ilirushwa.

Je uyu jamaa aliambiwa nini na TB Joshua, kama kuna mtu yoyote anayemfahamu uyo jamaa tafadhali atuletee mrejesho juu ya utabiri wa nchi yetu Tanzania.

Maana tunapoelekea si pazuri na mwenye akili timamu atanielewa,

Naomba mwenye taarifa juu ya uyu jamaa atujuze tafadhali.

Kinga ni bora kuliko tiba

mgaga Wa kienyeji tu kama wengne
 
Yule mganga wa kienyeji amtabilie nani?

Km kweli ye gwiji wa kutabiri
akawatabirie wazaz wa wanigeria wenzie walopotelewa na
watoto wao mia msituni
 
Ole wake yule amuaminiye binadamu..!

Suala sio kumwamini Mwanadamu. Suala hapa ni uelewa wako. Hata Maandiko ya Mungu anasema "Muamini Mungu na Manabii wake"

Sasa basi msubirie Mungu aje akupe Maelekezo nn cha kufanya kama hauko tayar kuwaamini Manabii wake.(Soma Sura ya 7 yote kitabui cha wafalme wa Pili uone yule akida wa Mfalme aliye ambiwa kuwa "Panapo Majira kama haya kesho, Kibaba cha Unga safi kitauzwa kwa nusu Shekeli" yeye hakutaka kuamini maneno ya Nabii Elisha, akasema "Hata Mungu afungue Madirisha ya Mbinguni wazi, Jambo hili litawezekanaje!?

Endelekusoma mwenyewe ujue yaliyompata kwa kukosa hekima ya kuamini aliyokuwa akiongea Prophet Elisha.
 
mkuu uko sawa kabisa, wala hatupingani na wewe lakini siku hizi watu wanahangaika sana. mwenyezi mungu mwenyewe alisema kesheni mkiomba, ombeni mtapewa. siku hizi watu wanapenda kuombewa ila wao wenyewe hapendi kujiombea. Unakuta mwingine ana matatizo mengi sana ila ukimuuliza kama anakumbuka siku aliyopiga magoti na kusali anaweza asikumbuke, biblia ndo kabisaa wala haiguswi zaidi ya jumapili tu. baadhi ya wakristo siku hizi kila kitu ni wachungaji, siku hizi wako busy sana hawamshukuru MUNGU wanaporudi jioni nyumbani na hata asubuhi waamkapo salama. maandiko yanasema ombeni mtapewa, na kamwe hayasemi nendeni mkaombewe na manabii ndo mtapokea inabidi tujufunze kujiombea kwanza sie wenyewe hao wachungaji na wahubiri wengine watafanya kwa sehemu yao baadaye.
 
Tukumbushane jamani juu ya uyu mtabiri juu ya tanzania, kuna siku moja akiwa anahubiri akajitokeza mtanzania mmoja na akamwombea na mapepo yake yakatoka, ila baada ya kumwombea akamwambia baadea wakutane ili ampatie utabiri wa nchi yetu, nadhani wengi wetu tuliona na hapa Jf ilirushwa.

Je uyu jamaa aliambiwa nini na TB Joshua, kama kuna mtu yoyote anayemfahamu uyo jamaa tafadhali atuletee mrejesho juu ya utabiri wa nchi yetu Tanzania.

Maana tunapoelekea si pazuri na mwenye akili timamu atanielewa,

Naomba mwenye taarifa juu ya uyu jamaa atujuze tafadhali.

Kinga ni bora kuliko tiba

aliambiwa rais ajae wa tanzania ni lowasa
 
Back
Top Bottom