T.a.f.a.d.h.a.l.i s.o.m.a.

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Hivi ni kweli watu wanaweza kupata watu sahihi through social networks?? Mara nyingi nasikia watu mitaani na maofisini wakisema huwezi kupata mke safi na mme safi kupitia JF, e.t.c. Sina uhakika wa moja kwa moja! Ila ngoja mimi nijitose niangalie what will happen.
NIPO SIRIAZ JAMANI.: Natafuta Mwanamke mrembo mwenye yuko tayari kuishi na mimi,tunaanza kuwa wapenzi tunakuja wachumba,ikiwa sawa tunaoana! Slow but sure. So I real need a wife material b'coz I'm also A husband material.
Sitaki kusema sana,aliye tayari tutasemezana kupitia namba hii 0718651174. To mention a few,awe mzuri wa sura,awe mnene kidogo sipendi njiti! Mrefu kiasi chake,awe anajua kusoma na kuandika. Asizidi miaka 26 na kuwa chini ya miaka 18. Plz take it serious!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom