Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Wakuu za majukumu,
Nilikuwa cafe si mda nikakuta ka system knakuhesabia mda na mda ulipofika kakata mawasiliano na screen ikaingia screen saver ambayo uwezi kuitoa.
Nikaona basi sio vibaya nikipewa ujuzi wa hii kitu inakaa je?