Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 519
- 1,463
Yaani mnataka kuniambia haki ipo? Sheria iko? Utu unaheshimiwa? F*ck no! Hii system inatuchezea kama clowns. CCM kila siku wanapiga kelele majukwaani eti vijana ni taifa la kesho—yo, what tomorrow bruh? Wakati kesho yenyewe hawajui kama tutaamka na ugali.
Mimi ni msomi bro, Master's holder in Wildlife Management and Tourism, siyo mchezo. Nimesoma hadi brain yangu ikafry, nikae kwenye fckin' bench miaka yote halafu leo hii niko mtaani napiga marketing solo kutafuta wageni wa kutalii. Sina msaada, sina support, na bado wanataka kunipiga kodi kama Elon Musk wa Tandale. Like for real?! Man, **this sht ain't fair.
Wazazi wetu walichoka kutuvusha shule—hustling their whole lives. Wakatupigania tusome tukue tufike mbali. Tulivyofika, ndo wamefunga milango zote! F*ckin’ betrayal on another level. Serikali imebaki kushika bendera na kupiga porojo wakati sisi vijana tunakata tamaa kila siku.
Na elimu yenyewe? Bro, that education is straight garbage. Hakuna practicals, full of theory ya miaka ya 70—like wtf?! Tunatoka na degrees za kisomi halafu tunarudi mtaani kuchoma mihogo na kuuza socks. Meanwhile, watoto wa vigogo wanaozea South Africa, UK na Canada, wakirudi tu wanapewa kazi kama candy.
Kama hujui mtu, umeumia. Kama huna mgongo, unaozea mtaani. Kama hujui kuongea lugha ya kisiasa, you f*cked up! Sisi ambao tuliamini kwenye elimu, we bet on the wrong horse.
Real talk, wale wako ofisini? Hawana hata cheti cha college. But wako hapo juu, wakipiga chai na kukatisha vijana wenye GPA za juu. Wanazeeka ofisini wakiforge documents za age, wakikalia viti kama ni urithi wa babu zao. Na sisi tunatazama tu, tukisema labda kesho. But guess what? Tomorrow never comes in this f*cked up country.
Sasa unaniambia mimi—msomi, niliyesoma kwa jasho la wazazi—nalipa kodi kubwa bila kupata fursa yoyote? Wananiangalia kama ATM ya serikali, na bado sina access ya mkopo, support, au hata recognition. Bro, that's straight disrespect.
Na bado mnashangaa vijana wamekuwa mad, savage, and ruthless? Hii ni sababu. System imejaa fake promises, fake hope, fake leaders. And trust me, we ain't takin' this sh*t no more.
Message kwa serikali na kila mzee anayekalia ajira hadi afe:
Let the f*ckin’ youth rise! Ama mtatuona mitaani tukiwa tumegeuka lions with nothing to lose. Don’t play with hungry minds and broke hearts. We got brains and rage—deadly combo.