camp konzi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 581
- 1,122
kwa kweli sisi zetu ni dua tu. ilisikika sauti ya bwana mmoja aliekua amevaa msuri na barakashia
Siongelei ukosefu wa ajira naongelea system iliyo kuwa designed kukufanya uwe slave.Kuna wale jamaa zangu motivational speakers unaweza kusema hawa watu wanatoa wapi mawazo ya kutoka kwenye umasikini na mawazo yao ya kibiashara ya anza jinsi ulivyo hapo ulipo usingojee dah mwamba hnaona duh mbona kila kitu kigumu endelea kujidanganya kila kitu kigumu, asikudanganye mtu unaweza usimuelewe ila humo humo watu wanachapa na wanatoboa ila wavivu watasema ohh haiwezekani ndiyo watu wanatokea humo sasa ila wewe unaona huwezi kutoka mpaka ubebwe na mfumo,
Tena chukua hatua kwa namna tunelekea huko hakuna mtu mwenye miradi yake atahitaji wafanyakazi ili kuendesha kampuni ujue tu kampuni na miradi itaendeshwa kwa mifumo ya kiteknolojia marobot yanatengezwa mengi tu kuchukua nafasi yako wewe unaengoja mpaka uajiriwe,ajira siikandii mimi mwenyewe nimeajiriwa ila chukua hatua wewe unaesubiri kuajiriwa maana kila mwaka kontena la wahitimu linaingia mtaani,tulioajiriwa tunachukua tahadhari plan B muhimu
Biashara za leo sio halisi ,ni game ya kugeuziana mchezo ,ni utapeli mtupu ,wengine wanaamini kwenye ushirikina.ni vizuri kusimamia unachokiamini, haunajua mkuu umejibu kwa haraka haraka sana sijasema kila mtu afanyebiashara ila nimewasihi vijana wasisubiri mpaka wapate ajira katika harakati za kutafuta mbadala anaweza pia kukutana na ajira au ndiyo akapendelea moja kwa moja kujiajiri ila mifumo ya kupendeleana ya kubebana ya undugu undugu ndiyo imetengeza kazi za kuajiriwa kuwa scarcity kwa wenye uwezo na wasio na connection
Sasa swali ni je utasubiri mpaka uje kuitwa kuajiriwa unaishije kipindi hicho chote
That's why hatufanikiwi because kazi yetu ni kuiga bila kujua implication take ni ipi. Mfano mitaa la ya shule, watu wanafundishwa algorithms lakini waki uliza watakitumia wapi hawaelewiMbaya duniani ya leo watu wanafuata mkumbo tu ,yaani kama vile wasomi na wasiosoma woe akili zile zile.
Najiuliza sana ,hivi ni kwa nn hata sisi waafrika tuwe na mfumo wa maisha tofauti na wengine? Tumebaki kuiga kila kitu...Maisha ni utumwa ,ukiwa maskini au tajiri ,harakati ni zilezile
😆😆😆kweliBiashara za leo sio halisi ,ni game ya kugeuziana mchezo ,ni utapeli mtupu ,wengine wanaamini kwenye ushirikina.
Hujamuelewa huko kujenga uhuru wako ndio system hairuhusu..unalazimishwa kuwa slave na obedient to system.Acha kujilazimisha kuingia kwenye mfumo (fit in), chukulia kazi kama chombo tu cha kulipa bili (transaction) huku ukitumia muda wako wa ziada kujenga uhuru wako mdogo mdogo nje ya mfumo huo.
Umeshindwa kusubiri?Kwanini kuna kufika sehemu ndio uone?
Ni mapema sana kusema hakipoNisubiri kitu ambacho hakipo?
Wewe subiri tu mkuu. Kuwa mpole!. Utajionea mwenyewe wakati ukifika!Mkuu basi kama una imani hiyo