little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,465
- 4,862
Sasa kwanini unalalamika na unayafahamu.😂It's all about breaking the survival barrier, both physically and psychological
Sasa kwanini unalalamika na unayafahamu.😂It's all about breaking the survival barrier, both physically and psychological
Hawana dhamiri?Moto huo upo katika ulimwengu usioonekana.
Ukitaka uthibitisho,kufa ukiwa hujatubu na wala hujampokea Kristo Yesu maishani mwako,nakuhakikishia utakutana nao!.
Wanyama hawana chapa ya Mungu ndani yao. Hawajaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Hawana utashi wala Dhamiri ya kutambua jema na baya!
Yalitoka kwa BICHWA KOMWE.Hivi nikuulize swali ambalo kimsingi unalifahamu kabisa Je mamlaka ya Yohana kubatiza yalitoka kwa Mungu au binadamu?
Mkuu nadhani nimeeleweka. Kuamini au kutokuamini ni Uhuru wako!Hawana dhamiri?
Nani aliyethibitisha hilo kisayansi?
Kisa wanyama hawaongei, sio kuumaanisha hawana mechanism na mawazo, the remember so well, mbwa wanajua mfugaji, wanajua na wanaweza kupata mfunzo
Great analogyKutomba unaona raha, ila sistimu ndo mbaya!
Hujui kama mitombo pia ni sehemu ya sistimu?
Ukipenda kutomba penda na sistimu ya mitombo pia.
Lakini usijiuzulu kabla hujanipa hogo.
Wish you best of luck in your future endevours.
Nambie Gunner..Great analogy
Sawa Gunner 🥰🥰Sina usemi
Subiri wakati ukifika utakiona. Haraka ya nini?Utawezaje kuamini kitu unacho jua fika hakipo?
umefanya makosa gani?Nikiwaza na mbinguni kuna moto naishiwa pawa 😒!
Nitakuwa wa mwisho kuamini haya ,bahati mbaya hii dunia inaendeshwa na watu wachache sana ...Katika kusomea uchumi ,hasa masuala ya speculation ya pesa ,haiwezekani watu wote kufanya biashara labda wafanye kwa barter system ila mfumo wa pesa haiwezekani.Kuna wale jamaa zangu motivational speakers unaweza kusema hawa watu wanatoa wapi mawazo ya kutoka kwenye umasikini na mawazo yao ya kibiashara ya anza jinsi ulivyo hapo ulipo usingojee dah mwamba hnaona duh mbona kila kitu kigumu endelea kujidanganya kila kitu kigumu, asikudanganye mtu unaweza usimuelewe ila humo humo watu wanachapa na wanatoboa ila wavivu watasema ohh haiwezekani ndiyo watu wanatokea humo sasa ila wewe unaona huwezi kutoka mpaka ubebwe na mfumo,
Tena chukua hatua kwa namna tunelekea huko hakuna mtu mwenye miradi yake atahitaji wafanyakazi ili kuendesha kampuni ujue tu kampuni na miradi itaendeshwa kwa mifumo ya kiteknolojia marobot yanatengezwa mengi tu kuchukua nafasi yako wewe unaengoja mpaka uajiriwe,ajira siikandii mimi mwenyewe nimeajiriwa ila chukua hatua wewe unaesubiri kuajiriwa maana kila mwaka kontena la wahitimu linaingia mtaani,tulioajiriwa tunachukua tahadhari plan B muhimu
Sawa, upo sahihi...Unity is strength. Acha kujifanya mjanja
ni vizuri kusimamia unachokiamini, haunajua mkuu umejibu kwa haraka haraka sana sijasema kila mtu afanyebiashara ila nimewasihi vijana wasisubiri mpaka wapate ajira katika harakati za kutafuta mbadala anaweza pia kukutana na ajira au ndiyo akapendelea moja kwa moja kujiajiri ila mifumo ya kupendeleana ya kubebana ya undugu undugu ndiyo imetengeza kazi za kuajiriwa kuwa scarcity kwa wenye uwezo na wasio na connectionNitakuwa wa mwisho kuamini haya ,bahati mbaya hii dunia inaendeshwa na watu wachache sana ...Katika kusomea uchumi ,hasa masuala ya speculation ya pesa ,haiwezekani watu wote kufanya biashara labda wafanye kwa barter system ila mfumo wa pesa haiwezekani.
Ukitaka kujua biashara za dunia zinaendaje? Kasome forex na ufanye biashara hiyo utaelewa..Katika forex kuna kuna msemo wa big sharks ..