ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Habarini wakuu.....
Nina Pc angu ni DELL kuna siku umeme ulikatika na ulipo rudi PC ilikuwa kwenye charge! Sasa nahisi ilipiga shot maana nilipo washa ikawa haiwaki tena
So kutengeneza system charge ya PC ni sh ngapi nisije enda kwa fundi kichwa kichwa aka nifumua bei.....au kutakuwa na tatizo jingine?
Pia nina samsung sublaptop imezingua keyboard kubadirishia keyboard ake bei ake ni sh ngapi ina range vipi!
Msaada