System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

Lowassa anaonekana hana wasiwasi, nyinyi mna wasiwasi sana CCM, mara System, Mara sijui nini nini
 
Apson ndio anampotosha Lowassa kwa kumdanganya ni kweli JK alianza kuukata mrija wa lowasa kitambo sasa hivi analiwa hela tu
 

Wewe umesema! Ila hawa wandugu huwa hawaelewi kwa sababu nadhani huwa wanaamka na viroba na kulala na viroba.

Tutaendelea kumkumbuka lowasa kwa jambo moja tu; kufikisha ujumbe wa wananchi kwenye ccm kwamba wabadilike ama la sivyo confidence ya wananchi katika kuing'oa ccm inaendelea kukua na iko siku itang'olewa. Kwa hili tutamkumbuka na ccm yenyewe kweli imeupata ujumbe usiotia shaka.

Lakini wananchi bado hawajapata mpinzani sahihi wa kumpa nchi zaidi zaidi sakata hili limeibua mccm wa kizazi kipya ambaye ni mtu sahihi mwenye mawazo ya kimabadiliko na mwenye pumzi ya kuibadilisha ccm yenyewe naye ni JPM. Huyu hata hao ccm wanamkubali kwamba shughuli yake ni nzito!
 
We ngoja tu utaelewa kwamba lowasa ni nani anapoahapishwa kuwa prezidaah
 
Tulia dawa ikuingie vizuri wewe kada tarehe 25 dec jiandae utuvalie kanga moja na shanga kiunoni
 
Lawrance Masha alishatemwa kitambo!

Sumaye hakuwa na ubavu kwa merry Nagu

Kingunge aliwekwa pembeni!

Hujui lolote nyamaza,Mary Nagu inafahamika kawekwa hapo na Lowassa,Masha yule wa IMMA Advocate ni mtu wa Kikwete kupita Riz 1 na kwa taarifa yako hakutemwa ndio maana hadi anakosa Ubunge alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani.Ni mjinga tu atakaefikiri kuwa kuondoka kwa Kingunge kuna athari hasi kwa CCM!
 

" Sasa si ufurahi kimya kimya ?unamweleza nani na kwa nia gani?"

Acha kuminya uhuru wa mawazo na kujieleza.
Ukiminya mwenzio na wewe tutaiminya post yako.
 

Hao si ndio Magufuli anawalalamikia kuwa mchana wako CCM lakini usiku wako UKAWA?
 

Nafikiri pia unawajua wanachadema wanaompinga Lowassa kimya kimya.
Wanasubiri tu kumuadhibu (yeye binafsi) hapo Oct 25?
 

Hadithi ya kusadika
 
Magufuli 55% lowasa 41% others 4%.MPs ccm 48% including nominated,opposition 52%. Ni naomba iwe hivyo na serikali itawajibika kwetu wananchi.

Serikali mseto nzuri kwa maslahi ya wananchi wananchi tuko pamoja Ng'adi
 

Kweli kabisa wako hoi majimboni tunaona hata kwenye panga pangua ya watanzania kupitia Azam tv, wengine mpaka wanakimbia midahalo.
 

We pumba vu kweli,,sasa Chadema inakuhusu nn kama wao wamevaa mkenge,? halafu tatizo msilolijua ni moja,kuanguka kwa ccm ni maandiko,kwahiyo haya yote yanayotokea mnajidanganya kipumbavu tu
 
We pumba vu kweli,,sasa Chadema inakuhusu nn kama wao wamevaa mkenge,? halafu tatizo msilolijua ni moja,kuanguka kwa ccm ni maandiko,kwahiyo haya yote yanayotokea mnajidanganya kipumbavu tu

Hivi mlivyokuwa bize mnafuatilia uteuzi ndani ya CCM ilikuwa inawahusu nini? Hebu acha arguments zisizo na mantiki mkuu na ujikite katika hoja! Ujue mnaenda kushindwa vibaya na mtaparanganyika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…