System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!


Nimeipenda sana hii, imetulia. #HapaKaziTu
 

Huwezi kurudi kuichagua CCM na kuyasahau mabaya yake yote Eti kwa sababu ya System (sijui DC na RC).
Tumefikia mahali pa ku opt jiwe si CCM
 
Lawrance Masha alishatemwa kitambo!

Sumaye hakuwa na ubavu kwa merry Nagu

Kingunge aliwekwa pembeni!
exactly..yaani wote ni makapi na mmoja ni nyumbu mzee kafuata malisho. sisi oct 25 tutachagua mtu muadilifu na mchapa kazi john pombe magufuli. hapa kazi tu.
 
Wewe mbona unapenda sana MIJUSI? Mara Mamba wanaishi Baharini? Mara Chadema wameuvaa Mkenge.

Kwani wewe umeuvaa U nini? Au hii zawadi ilikuwa yako? CCM kiboko.....



Im so disappointed with Chadema baada ya kuuvaa mkenge huu wa kihuni .....
 
Hizo nguvu zoote na pesa nyingi mnazotumia kununua wasanii na kulipa wanamuzik kuwavuta watu kwenye kampeni,ni za nini.mngekaa basi msubiri kuapishwa.Kwanza wewe ni nani ikiwa tu mwenyekit wenu alishasema uchaguzi wa mwaka huu siyolelemama kama wenye akili mgando km wewe mnavyotaka kujiaminisha.SWINE!!!
 

Mbaya zaidi na Kyle NEC Kkwete kakuvurugs, waluwategemea wametimuliwa na mfumo wa IT umebadilishwa, Mnyika amebaki na kilio.
 
mobile.mwananchi.co.tz/Habari/Masha-akamatwa-na-polisi-kwa-kufanya-kampeni-kambi-ya-wakimbizi/-/1597580/2923098/-/format/xhtml/-/imbadoz/-/index.html
 

Duuh,,, kupinga hoja kwa style hii kunaleta shaka sn. Namna ulivyo andika inaonesha ni mtu mwenye upeo mzuri tu. Hivyo wkt mwingine tulia, andika /pinga kwa hoja mkuu
 

Kwa maana wangekuwa wamekubaliana na USANII eeeh?
 
Madc na wakuu wa wilaya ndio kina Nani?
Jaji mkuu kasemaje Leo? kulinda kura n haki ya kisheria, katofautiana na jk na mwanasheria mkuu.
Lowassa from the beginning alisema kuwa tumpigia kura nyingi hata wakiiba ishindikana, sasa hz story zako eti Lowassa alisema tusilinde kura umetoa wap?
Hiv kati ya kikwete na Lowassa ni nan anayejiamin zaid? mbona kikwete hayuko kwenye kampen lkn kila nkimuona macho yamevimba kama mtu ambaye halali? Anaenda kuomba kura had kwa wabunge wa Kenya?
Ccm wajaribu kuiba kura ndipo utaelewa nguvu ya Lowassa ipo wap.
 

Yaani hawa mostly wanatumia akili za kuambiwa. Zao hawatumii kabisaaa!!!!
 
Ulichokiandika ni KIZURI,,, ila kwa vyovyote utatukanwa tu maskini
 

Wewe una akili nyingi. Wajinga hawawezi kukuelewa
 

Very factual
 

Kama Jk alitoa system aliyotengeneza Lowassa ivi ulishudia hali ilivyokua dodoma??pia ktk mikutano yake ya sasa unahudhuria???
 


Sasa wewe unaongea upuuzi gani huku? System ndio kitu gani? lowasa anategemea kura za wananchi na kama kuna mambo mliyoyafanyaganya subiri kura zipigwe na mchakachue kwa kujidanya na system wananchi wataongea yote
 

Endelea kujidanganya
Dar labda Kigamboni ndo ma CCM mtaeza tikisa kalio
 



Kuna hii system ya Peaple power wewe unasemaje ? ambayo hii machine babukubwa wewe unasemaje?

Hii ni Sunami imezoa hata mzee kingunge Juma mwampachu Sumaiya na wengi tu wenginewe ambao wamo ndani ya ccm lakini ni Ukawa.

Muliza Jk mbona kashindwa kulivunja baraza la mawadhiri mpaka sasa kunani huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…