System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

Anayeichagua CCM anamaanisha kuwa anayo hela ya kumlipia mwanaye A level na Chuo Kikuu.
 

Naona unakubaliana kuwa Lowasa will loose the game
 

Ni muda wa kuwakumbusha watawala wetu kujitambua na kutafakali kwa kina nini hatma ya Tanzania yetu lowassa amekutana na watu wenye kitu ya mabadiliko kwa kuwa watawala wameshindwa kuwasikiliza watawaliwa ni muda wa watawaliwa kusema hapana imetosha
 
Makongoro Mahanga bado ni waziri au?

Hivi wewe mbona mbishi tu? We lete hoja pinzani kwanini JK hajavunja Baraza la mawaziri. Hata mtoto wa primary anajua Makongoro Mahanga si Waziri kwani si mwana CCM tena!
 

Wewe mpuuzi kweli
Sidhani kama Lowasa anategemea wahuni wa system bali anategemea nguvu ya umma

Unataka kutuaminisha kuwa MAGUFULI anategemea SYSTEM nawe unashangilia kwa hilo hivi kweli una akili. Kuwa mzalendo acha upumbavu, unafikiri magufuli akipita atakupa nn? Hupati chochote
 

Sema mahaba uliyo kuwa nayo wewe usiseme watz kwa huyo maumvi wako watu hawataki mahaba wanataka kazi bwana magufuli hoyee
 
Lawrance Masha alishatemwa kitambo!

Sumaye hakuwa na ubavu kwa merry Nagu

Kingunge aliwekwa pembeni!

nawashangaa cdm eti leo wanamtema dr slaa ili wamkumbatie masha...makongoro mahanga...kingunge..mgeja....guninita
 

Hakunaga hao unaowaita wahuni wa system
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…