Russia sasa yaanza kutungua makombora ya Israeli huko Syria

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,305
35,852

Russia amechafukwa huko Syria, makombora yaliyorushwa na Israeli kuelekea Syria yametunguliwa yote na Russia. Israeli imechambia mgomba sasa akijichanganya atachezea kipigo kibaya.

Russia is now openly shooting down Israeli missiles over Syria.

Sputnik:

"Russian anti-aircraft missile systems Pantsir-S have shot down ten guided bombs and three cruise missiles launched by the Israeli air force towards Syria, the Russian Defense Ministry's Center for Reconciliation of Opposing Sides in Syria said on Friday."

Times are changing...
IMG_20231231_101537.jpg
 
Sidhani!
Inavyoonekana Russia ilishajitoa Syria labda analinda vituo vyake vya Latakia na Khemein vilivyopo bahari ya Mediterenian!
Hizo silaha ndizo alizoipa Syria muda mrefu izitumie kujilinda na mashambulizi ya anga ya Israeli.
Kwa sababu ya urafiki uliopo kati ya Putin na Netanyahu, hakuwezi kuwepo makabiliano ya kijeshi kati ya Russia na Israel.
 
Alijiondoa kiaje hem fafanua hapa
 
Back
Top Bottom