Syria watungua ndege ya Israel

Halafu hizi habari alizotangaza israel kuwa ameshambulia maeneo 12 na Military base 4 za iran pamoja na airdefence system baada ya ndege yao kudunguliwa nahisi ni uongo make nimefuatilia kwenye media hakuna hiyo habari....nahisi wanatoa hiyo habari kujikosha tu na kipigo cha jana na huenda marubani wao kadhaa walikufa
Hiyo base yenyewe ni Secret sasa ikiteketezwa habari utazipata wapi? ni sawa na wewe unavyoongea na simu yako watu wanakufuatilia bila wewe kujua ila wanakuwa wanakuonya na wewe unakataa kuwa huna hicho kitu wanachokuonya siku wakikukaba sidhani kama utasema... au mtu akudhurumu Bangi na Pombe ya Gongo utaweza kumpeleka Polisi umshitaki?
 
Taarifa zisizo rasmi zinasema syria walitumia makombora 10 ya ulinzi wa anga,kudungua ndege 2 za F-16 na helcopter moja,Apache na makombora 5 ya israel.
Taarifa kutoka source ndani ya israel defence zinasema israel is in disarray,sijui kudisarray no nini au wamepanick au kuchachawa sijui,

wanadai Russia imewazunguka na kuplot na syria na iran,kuiangusha ndege yao
nilisema juzi kujihusisha na urusi kivita ni hatari sana sana ogopa watu waliokuja duniani kwa ajili ya vita tu.
 
Yani ndege ya miaka ya 1970 kudunguliwa mnafanya sherehe!!!! Mbona Mturuki aliitumia ndege hiyohiyo kama ya Israel F-16 kuitungua ile ya Mrusi lakini walikaa kimya.

Hii wiki haiishi nakwambia lazima Israel atembeze kichapo kingine huko Syria.
najua mwishowe na mrusi atatoa somo,the red army of russia baba la vita la dunia.
 
@zekokuyo
hii ishu mimi nimeiona bado niko kwa bed saa 6:30 asubuhi,
mimi mzito wa kuanzisha thread ila napenda kuchangia tu,sasa nikawa nasubiri watu wailete kimya,
imefika karibu saa tano bado kimya,nikakumbuka leo wikiend nikajua bado mmelala ndo nikajisa kuipost.
Naona IDF spox amesema yaishe,wasikuze hii ishu,
labda wamegundua mrusi anawazunguka watatafuta utaratibu mwingine,kwa mfano labda kummaliza assad au putin,au wanasubiri watu wajisahau ili washitukize kupiga kama kawaida yao.
Au wamegundua actually wao waliovereact,ilitosha wao walipoidodosha drone,kwani drone hata zao huingia syria zikadodonshwa mambo yakaisha.
Pengine wamegundua syria alikuwa na haki ya kufanya defence dhidi ya shambulizi etc.
Najaribu kutafuta madhara yaliyoletwa na shambulizi la pili la israel syria bado taarifa hazipatikani,
zipo za juu juu mfano pale T-4 airbase inasemekana israel wameharibu observation tower na baadhi ya drone za hezbullah.

Wiki chache zilizopita iran walitoa drone 100 kwa hezbollah huko syria.
Hizo ni zenye uwezo wa kushambulia na inawezekana drone ya leo ilikuwa inakwenda kushambulia waasi wa syria walio katika mpaka wa syria na israel
hezbollah kumbe wamepiga migambo,nilijua tu taifa la mungu buana.
 
Ndio maana nilishangaa eti F-16 imepigwa na kombora kutoka Syria. Hili tukio limebeba siri nyingi sana kuliko tunavyodhani. It's a big mistake IDF inafanya.
nilisema na nitasema tena urusi sio kitu cha mchezo mchezo.
 
Hii ni issue ya kitoto sana kwa Israel. Kipigo watakachokipata magaidi na wafadhili wao watajuta uchokozi wa kitoto walioufanya. Eti makombora yamelenga ndege, ikadondokea Israel, na rubani hajafa au kukamatwa. That alone gives you a clue uwezo wa hawa jamaa. Wakati nyie mnapeleka binadamu forefront kujilipua, wao ni protection ya life ya watu wao kwanza. Hamuoni tafauti?
Nimeshangaa sana kusikia jamaa wamepiga target na kuondoka.
 
Ingekua rahiz hvyo mmarekan angekua ameishaimaliza syria lkn mpk leo ni zaid ya miaka 6 bado wanapigana tu hapo ndo wanasaidiana na mataifa makubwa yote dunian kuipiga syria
Nikukumbushe pia tu kuwa vita ni biashara nzuri sana.
 
Kukusaidia tu ni kuwa katika miaka saba ya hii vita hao “vibaka” hawajawahi kuwashambulia hao Israel unaowaabudu.. Lakini Israel imeshambulia kwa jinsi inavyotaka Lebanon na Syria.. Unafiki uko wapi hapo? Embu weka mahaba kando na tumia common sense kidogo…hii hadisi ya kufutwa kwa israeli katika ramni ya dunia imetokana na ufedhuli wanaofanyia binadamu wenzao.. Ikiwemo kuzuia kabisa pwani ya gaza kisiingie wala kutoka kitu… kufanya gaza kuwa “open prison”… haya unayoyaona ni majibu ya ufedhuli wote huo.. Unajua kuna maazimio mangapi ya umoja wa mataifa yanalaani ukandamizaji huu? By the way sijui kama unajua waafrika weusi wahamiaji wanasakwa huko Israel kwa dau la dola elfu tisa kwa kichwa…

Ni wachache sana wanao weza fikir ndio wanajua hayo wengi ni watu wa ndio tuu bila kifikiri kwa kina kwanin kasema ndio.

Israel sijui kwanin watu wanaalalisha dhambi zao na kuwa meema.
 
Ni wachache sana wanao weza fikir ndio wanajua hayo wengi ni watu wa ndio tuu bila kifikiri kwa kina kwanin kasema ndio.

Israel sijui kwanin watu wanaalalisha dhambi zao na kuwa meema.
Mkuu mungu sio dhalimu hizi zingine ni akili za binadamu tu na project zao za kutufanya misukule
 
Back
Top Bottom