omujubi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 4,444 Reaction score 2,703 Jan 21, 2014 #1 Huko Syria, huyu mtoto wa kiume amelala katikati ya wazazi wake. Dunia iko wapi?
Msherwa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 1,323 Reaction score 1,232 Jan 21, 2014 #2 So Sad ..!
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Jan 21, 2014 #3 too sad duh!!!!!!
N nosocomial JF-Expert Member Joined Dec 6, 2013 Posts 404 Reaction score 45 Jan 21, 2014 #4 Mungu saidia watu wako, one side the ffathee the other side the mother.
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Jan 21, 2014 #5 hizo ni propaganda. si kweli kwamba hiyo picha iklichukuliwa Syria na si kweli kwamba hayo ni makaburi na si kweli kwamba huyo ni yatima. Picha ilitengenezwa iraq. tazama hapa chini. Source: Fake Syria orphan photo wasn't taken in Syria and not of orphan - Middle East - World - The Independent ingia na hapa: Photo of Syrian Child Sleeping Between Graves of Parents a Hoax - One News Page
hizo ni propaganda. si kweli kwamba hiyo picha iklichukuliwa Syria na si kweli kwamba hayo ni makaburi na si kweli kwamba huyo ni yatima. Picha ilitengenezwa iraq. tazama hapa chini. Source: Fake Syria orphan photo wasn't taken in Syria and not of orphan - Middle East - World - The Independent ingia na hapa: Photo of Syrian Child Sleeping Between Graves of Parents a Hoax - One News Page