Synovate: Vinara tisa urais 2015

Utafiti unaofadhiliwa na Ikulu hutayarisha uchakachuaji wa matokeo tu. Mambo siyo hivyo kwa sasa. halafu hawa Wakenya wameikamata Ikulu kea ulaghai kama huo lakini yana mwisho
 

MODS tafuteni jukwaa maalum la watu kama hawa.
Hii ni Psychiatric case,tusilete masihara,jamaa inabidi awahishwe Mirembe haraka!!!
 
Hahaha... mtu anakaa kwenye keyboard anatengeneza research results...
 
Habari ya gazeti haijakamilika. Gazeti ni kama halina mhariri na muandishi ana "Pass" ya division four ya mkia isiyo na utashi (kuna nyingine zina utashi).

Ripoti unayoisema ni kamili iko wapi?
It is in the public domain now and should be accessible on demand.
Mi nimeipata kwa njia ninazo zijua mimi, ukitaka nitakutumia na wewe
Nimeridhika kua wana 95% of confidence, sample ya 2000 people
Rural and urban area reflective, gender balanced na standards zingine zote
 
Tafiti zisizo na mashiko hizi, inabidi vyuo vyetu vikiongozwa na UDSM vifanye utafiti yakinifu sii huu wa ubabaishaji wa Synovate!
 
Kuna mambo kuyasema hadharani lazina uwe allien
 
Mmh, huo utafiti wa siri kama jando una la maana kweli?

Pamoja na yote, naomba kuuona kama inawezekana?

 

Safi saaana. Unajua waandishi wetu wengi ni wale waliishia darasa la 12 au 14 na kuanzia hapo hawajawahi kusikia kama kuna research na jinsi inavyofanyika. Hivyo hata wakipata habari za mtaani tu wanaweza kuzifanya kuwa ni findings za research. Fantastic
 
Mmh, huo utafiti wa siri kama jando una la maana kweli?

Pamoja na yote, naomba kuuona kama inawezekana?
Sio wa siri! umejaribu kwenda site yao? Au kuwaandikia on "contact us"?
Nitumie email yako via PM nikutumie. Mi mshamba, sijui kuu-post humu
Ngoja nimtumie Max mwenyewe aweke ripoti in this thread, as he does.
 


Kioja Cha Mwaka
 
Ngoja niusubiri auweke

Sio wa siri! umejaribu kwenda site yao? Au kuwaandikia on "contact us"?
Nitumie email yako via PM nikutumie. Mi mshamba, sijui kuu-post humu
Ngoja nimtumie Max mwenyewe aweke ripoti in this thread, as he does.
 

Slaa hajawahi kumpiku reigning President hata siku moja labda kwa kura za JF mtandao ambao hauna shaka kuwa ni pro CDM. Hata hivyo ilikuwepo research bureau moja iliyoongozwa na Dr mmoja wa UDSM yeye ndio alifanya kituko cha mwaka kwa kutoa takwimu zikionyesha Slaa kuwa atashinda kwa 75%. Sample hizi za kuchukua hapa Dar es Salaam tena huko Kimara na Kawe au Tegeta au Moshi na Arusha zina bias kubwa na haziwezi kutumika kufikia hitimisho sahihi la kutegemewa ndio maana Slaa kaanguka kwa asilimia hizo alizozipata.
 
Tumeuona utafiti wenu Synovate, ingawa kuna shehemu silidhikinazo
 
KATIKA TAASISI NISIYOIAMINI NI HII SYNOVATE,WALLAH SIWAAMINI KWA LOLOTE HAWA,haswa huyo Bana ninamuona ana damu ya kifisadi na uoga uliojaa usaliti kwa wavuja jasho wa kitanzania.
 
kweli mkuu! utafiti unaonyesha unaongoza sana tu, hao sinoveti washenzi tu. mkuu 2015 wee ndo mkulu wetu.
 
Nawaomba ADMN wa JF waanze kuchunguza account ya bwana DEOGRATIUS KISANDU uwenda kukawa na hackers wanatumia bila ruhusa yake au kuna mtu katumia jina lake kwa ajili ya kumchafua,"maana si bure kwa mtu mwenye akili timam kupost kitu kama hicho" :frusty:
 
Utafiti huu ni wa kijinga na hauna maslahi kwa umma , jiulizeni ulifanyika maeneo gani , ni methodology gani zilitumika , nani walihusika na ripoti yake iko wapi? Huu ni muendelezo wa REDET , ikumbukwe REDET iliingiza rais wa tano , sasa Synovet ndio wanajiandaa kuingiza rais wa Sita , unapaswa kupingwa .......utafiti wa bar za walevi huu....mbona hawajasema lolote kuhusu katiba mpya? Kenya walifukuzwa ama wako wapi ? Hawa waliitwa Stead man uchaguzi wa Kenya 2007 ......leo wanajiita nani huko........
 

Nilivyoona kimya hapo katikati nikajua umekata tamaa, kumbe bado upo nae.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…