TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Wakuu,
Heshima mbele. Nimekutana na habari za chini ya kapeti kwamba ile taasisi ya utafiti ya kimataifa Synovate Ipsos, leo 24 Septemba 2015 ina mpango wa kutoa matokeo ya utafiti wake kuhusu hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa mwezi Oktoba.
Synovate ndio taasisi ambayo 2010 ilitabiri CCM kuanguka kwa kupata 61% toka 80%+ iizopata mwaka 2005. Bundi huyo wa Synovate kwa CCM baadaye alikuwa wa kweli kwani CCM illipata 61% uchaguzi ule wa 2010.
Huku vuguvugu la matokeo ya Twaweza likiwa bado halijapoa, hebu tusubiri tuone uhalisia wa hii tetesi ya Synovate na nini matokeo ya utafiti wao.
Ngoma inogile.
Updates:;
Ripoti ya Synovate.
http://www.ipsos.co.tz/reports/?page=polls&option=1