Synnovate: 78% ya waliotibiwa na Babu wamepona! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Synnovate: 78% ya waliotibiwa na Babu wamepona!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Aug 4, 2011.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"]Survey: 59pc of Tanzanians believe in Mwasapila ‘cure’ [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"]Thursday, 04 August 2011 00:17 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]digg

  By Polycarp Machira
  The Citizen Reporter
  Dar es Salaam. More than half of Tanzanians believe in the herbal medicine offered by retired pastor Ambilikile Mwasapila in Loliondo, Arusha Region, a new poll has shown.Recently released Synnovate polls show that at least 59 per cent of the people interviewed approve of the ‘miraculous’ cup of herbs while 29 per cent have no belief in what the Rev Mwasapila is doing, with 11 per cent saying they did not know.

  About 1,176 of the 1,994 respondents in the poll, carried out between May 2 and 19 this year, showed that some 578 disapproved of the herb while 219 people said they did not know.

  About 78 per cent of those who had sought treatment claimed that they were cured from their diseases after taking a cup of the herb from Babu, as the former pastor is popularly known.
  On the contrary, seven per cent said they were not cured while 15 per cent did not know whether they were cured or not.

  Some 83 per cent of the Tanzanians who were polled disagreed with the statement that: “It is easy to access Babu wa Loliondo’s Kikombe (cup).” “Only 17 per cent of the respondents are in agreement that it is easy to access Babu wa Loliondo’s Kikombe and this may be attributed to their proximity to Loliondo,” reads the report.

  Diabetes tops the list of diseases that people mainly seek treatment for with a 24 per cent score, blood pressure (22 per cent), HIV Aids (13 per cent) and cancer (12 per cent).

  Others include ulcers, asthma at seven and five per cent respectively while epilepsy, pneumonia and foot ache tie at four per cent each. Tuberculosis and stomachache also tie at three per cent as spinal cord and chest problems score a distant two per cent each.

  Eye infections are represented by one per cent, while diseases not mentioned by the respondents score 25 per cent. This constitutes part of the wider 49 per cent of Tanzanians who would visit a herbalist when sick.
  At least 21 per cent of those interviewed would visit a witchdoctor if they felt sick but an overwhelming 75 per cent of Tanzanians would not see witchdoctors due to health problems.

  This, according to the polls, indicates that a majority of Tanzanians recognise and accept herbalists, as opposed to witchdoctors. A key observation was that herbalists and witchdoctors are viewed as two different sources of health solutions, with the former having some level of acceptability and tolerance.

  On the other hand 85 per cent of Tanzanians think that herbalists should be regulated, while only 12 per cent think that the government shouldn’t regulate herbalists.

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Karibu kaka pj,...maake watu kibao walikua wanataka eti uje jamvini kuleta ushuhuda wa tiba babu wa loliondo,...ndaga fijo na loli........nine ngwitika
   
 3. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Haya, yuko wapi Haji Mponda? Aisome hii habari na atoe tamko tena. Tafiti kama hizi tunazitaka nyingi tu na watuletee majibu kisayansi. Hatupo kisiasa. Sio utu kumwambia mwenye njaa asinywe maji kwa kuwa maji hayaondoi njaa iwapo wanaokunywa maji hayo wanaamini wanakata kiu na njaa kwa maji hayo wanapokosa mbadala.
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  acha kukurupuka wewe...unasoma kichwa cha habari unaanza kumshukia Mponda. Mponda yupo kiSayansi (he was a senior research scientist at Ifakara Health Institute ambao wanaongoza nchini kwa kutafiti tiba mbali mbali), sasa wewe ukisoma hiyo report ya Synovate unaona kuna sayansi? Hve you ever wonder why Synaovate has never published any of their research in any jaournal? Now google uone Mponda keshapublish research ngapi kwenye journals za kimataifa!

  Turudi kwenye mada....hata siku moja huwezi kufanya tafiti kugundua kama dawa fulani inatibu ugonjwa fulani kwa kwenda kumuuliza mgonjwa 'eti umepona au la'. Magonjwa yote yaliyotajwa kwenye hiyo ripoti mfano ya moyo, kisukari, ukimwi/HIV, TB, saratani (kansa) etc yana vipimo vyake hospitalini, kwa nini hawakwenda basi kuwachunguza hao wagonjwa hospitalini ikathibitishwa wamepona?! Kuna shuhuda yeyote humu JF ambaye amekunywa au ndugu/rafiki anayemfahamu amekunywa kikombe akathibitishwa hospitalini amepona? Sasa kama ugonjwa umegundulika hospitali, ukapata tiba mbadala, kwa nini husirudi hospitali kupima tena kama kweli umepona badala yake mtu anauliza tu swali anaandika report 78% wamepona!

  Another issue, ile ni tiba ya kiimani, na wengi wanaamini muujiza wako si lazima utokee mara tu baada ya tiba..hivyo ukimuuliza kama kapona, atasema kapona kwa sababu anautarajia muujiza wake hata kama bado hajapona, did synovate look at that as a potential source of bias? Hii ni siasa na kuficha aibu tuu kwani serikali nzima ilikuwa kule, na sasa wanajua Dr Hadji mponda was right, na likuwa right kusimamisha ile huduma mpaka ufanyike uchunguzi...lakini nobody wants to admit walichemka!
   
 5. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ukiona believes, claims to have ..........UJUE NI MAGUMASHI YALEYALE..........
  Jana RAIA MWEMA inaripoti kutoka kwa mtandao wa watu wanoishi na UKIMWI...baada ya siku tisini wamepima mara tatu.......sio tu hawakupona hata virusi havikupungua!!
  Huu ujinga wenu pelekeni DECI wanakoamini kila kitu!
   
Loading...