Chifunanga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 290
- 102
Kuna article kwenye ipp media inasema DOWANS inataka kuuzwa kwa kampuni nyingine ya marekani SYMBION.
Jamani tunachezeshwa mchezo huohuo kila siku mpaka lini.
Nimejaribu kufuatilia website ya hii SYMBION, pale chini imeandikwa "© 2011 Symbion Power LLC":
Kufuatilia domain yao ya symbion-power.com, naona umekuwa regisrered 2005 na inaexpire november mwaka huu 2011.
Halafu serikali inasema kuwa hii ndio kampuni itakayosaidia Tanzania kutoka kwenye tatizo la umeme?.....kweli jamani? experience ya hiyo kampuni iko wapi?
-----
Permanent Secretary in the Ministry of Energy and Minerals, David Jairo anasema kuwa discussions zimefikia final stage "Discussions have reached the final stage, and we expect to unveil more details on the acquisition of the Dowans plant today,"
Wakati kwenye hiyo website ya SYMBION inasema kazi ilianza August mwaka jana "True partnership drives everything we do. The result has been successful transmission line, substation, and training projects in the challenging construction environments of Iraq and Afghanistan and new work in Tanzania that began in August 2010."
Akija January wakowapi? mbona hatukuisikia hii SYMBION miezi ile tulipokuwa tunalia na kuilipa DOWANS?
Halafu ukiangalia profile za owners http://www.symbion-power.com/symbion/team.html, wamekaa ki CIA CIA tu....kuna kuzalisha umeme kweli hapo?
- Chairman wa hiyo SYMBION power holdings ana distinguished military career as an Officer in the Scotts Guards and for the British Special Air Services (SAS).
-CEO wa kampuni yupo hivi Since 2003 Paul has been at the forefront of US wartime contracting efforts.
- Chairman wa african branch/tanzania nae He also served as Special Assistant to President Clinton in charge of African Affairs at the national Security Council.
Kwa hiyo na umeme tunaupataje tenaa?