syllabus ya networking

syllabus ya networking

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
Habari zenu ndugu wanajamvi, Nahitaji kurudi darasani siku zijazo kwaajili ya masomo ya ict na lengo langu kuu ni kwenda kujifunza hasa namna ya kumeneji network. Kutokana na muda kuwa mdogo, nimeona nianze kujitengenezea mazingira ya darasani kwa kuanza kujisomea kwa njia ya internet hasa katika eneo hili la networking japo bado sijua mpangilio mzima wa topics.
Tafadhali mtu yeyote anayejua syllabus/mpangilio wa hizi topics(networking) naomba anifahamishe. Shukrani
 
Mkuu kama unaweza jiunge na chuo wanachofundisha CISCO (CCNA)
 
we bora udownload kitabu kinaitwa network fundament kiasi kitakupa mwongozo ila netni kubwa.
 
Hv mtu ukigraduate computer sciennce,engineering or IT kuna umuhimu wa kusoma CCNA ili kujiwekea mazngra mazur kwenye ajira?
 
Vizuri kama umeamua kurudi shule,nakushauri uje UCC apa utapata kile unachokitaka,vile vile uwa tunafanya mitihani ya online

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
CCNA pia tunasoma kwa njia ya mtandao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hv mtu ukigraduate computer sciennce,engineering or IT kuna umuhimu wa kusoma CCNA ili kujiwekea mazngra mazur kwenye ajira?

Mkuu wangu yaani hiyo CCNA ukiiangalia kwa makini utagundua katika degree yako vitu ambavyo vipo CCNA umesoma nadhani 20% only,so kwa ujumla ukipiga degree yako kwenye hayo masomo uliyoyataka hapo then ukafanya CCNA wewe utakuwa sio mwenzao tena na utakuwa na advantage maana hiyo CCNA vitu utakavyosoma huo ndio utakavyo fanya kuliko degree uliyofanya ni vitu ambavyo ni general, so ni ushauri tu kwa upande wangu ninavyoona....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu kama unaweza jiunge na chuo wanachofundisha CISCO (CCNA)
Ahsante kwa ushauri wako mkuu, japo muda nilio nao ni mdogo sana kuweza kwenda chuo kwa sasa, nimependelea zaidi kusoma online kama inawezekana lakini
 
Mkuu wangu yaani hiyo CCNA ukiiangalia kwa makini utagundua katika degree yako vitu ambavyo vipo CCNA umesoma nadhani 20% only,so kwa ujumla ukipiga degree yako ya IT kwenye hayo masomo then ukafanya CCNA wewe utakuwa sio mwenzao tena na utakuwa na advantage maana hiyo CCNA vitu utakavyosoma huo ndio utakavyo fanya kuliko degree uliyofanya ni vitu ambavyo ni general, so ni ushauri tu kwa upande wangu ninavyoona....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Papizo za siku?
Ni vema kama umempa ushauri huyo ndugu namna ya kuanza kusoma hiyo CCNA. WEngi wanaisifia
 
Last edited by a moderator:
Vizuri kama umeamua kurudi shule,nakushauri uje UCC apa utapata kile unachokitaka,vile vile uwa tunafanya mitihani ya online

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu ahsante kwa infomation japo sijajua wapi ntapata more information, cost na wapi ntaanzia.
 
Mkuu wangu yaani hiyo CCNA ukiiangalia kwa makini utagundua katika degree yako vitu ambavyo vipo CCNA umesoma nadhani 20% only,so kwa ujumla ukipiga degree yako ya IT kwenye hayo masomo then ukafanya CCNA wewe utakuwa sio mwenzao tena na utakuwa na advantage maana hiyo CCNA vitu utakavyosoma huo ndio utakavyo fanya kuliko degree uliyofanya ni vitu ambavyo ni general, so ni ushauri tu kwa upande wangu ninavyoona....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

umenifungua mawazo mkuu wacha namimi nifanye mpango wa kuisoma hyo CCNA
 
we bora udownload kitabu kinaitwa network fundament kiasi kitakupa mwongozo ila netni kubwa.
Mkuu ahsante sana, lakini naweza kukipakua kutoka website gani?
 
umenifungua mawazo mkuu wacha namimi nifanye mpango wa kuisoma hyo CCNA

Hamna tatizo mkuu wangu,kwa ujumla wengi wenye degree hizi ambazo mkuu amezitaja hapo juu katika hayo masomo umesoma General na ukienda kwenye kazi katika vitu ulivyosoma ni percent ndogo sana ndio hapo utaanza kuona kazi ngumu,ila hiyo CCNA ukiwa nayo kwenye CV yako basi trust me wewe mtu mwingine na after hiyo CCNA kama una nafasi unapiga course inayofuata, basi kazi ni nyingi na nje nje....uwe na Masters yako ila uwe hauna hiyo CCNA na uwe na degree yako na huna Masters alafu uwe na hiyo CCNA basi wewe mwenye CCNA utapewa advantage zaidi labda mtu mwenye Masters akuzidi kwa experience otherwise inakula kwake....

Unajuwa kusoma mkuu sio kufata watu wanasema soma Masters sijui soma nini hapana bali ni plan tu na mtu unatoka kimaisha fresh kabisaaa na ni vizuri ku think big....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom