Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,253
- 2,166
Papizo za siku?
Ni vema kama umempa ushauri huyo ndugu namna ya kuanza kusoma hiyo CCNA. WEngi wanaisifia
Salama kabisaa mkuu wangu Idimi
Ni kweli kabisaa mkuu wangu wengi wana Degree za Computer Science,Computer Engineering na IT ila wanasota. na degree zao atleast yule mwenye degree ya Computing anasoma hiyo CCNA kwenye mwaka wake wa kwanza tu wanaku deep sana na hayo mambo ya CCNA....
So kama mtu umesoma hizo degree na ukaongezea na hiyo course basi naamini mafanikio yapo na kazi utafanya nchi yoyote na duniani popote na kampuni yoyote haijalishi serikalini au kwenye makampuni ya simu, kwanza ni vizuri na watakupa kipaumbele zaidi kazini,maana hata mtu akifanyiwa training atakuwa mwepesi kuelewa kuliko yule ambaye hajafanya hiyo course so ni ushauri wangu bora ku top up degree yako kwa hiyo course....
Ni vizuri tukasaidiana wote namna ya kutoka kimaisha maana vijana wengi wanasumbuka hawajui nini cha kufanya na hawajui why wana apply kazi alafu hawapati...
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Last edited by a moderator: