Swt Lulu and Dady yake..

Swt Lulu and Dady yake..

Ujanja kwisha analiwa kwa ugali harage sasa jela
 
Hii kesi inaweza kuwaingiza hata tusiowategemea....
 
Naona kitu hapa... Dizaini kama vile SK alimnyang'anya dotto wake hicho kitoto. Ili kummaliza mazima akakatangazia ndoa !
R.I.P. ANKO JJ !
 
Duh! Huyo Ray ataacti naye tena? Hapo Ray anaigiza kama ShugaDadi nini?
 
duh jamani umri wake ana makubwa kuliko wazazi wake. anahitaji maombi ya kufunga.
 
Duuuuuuuuuuuuuuu, watu wanafaudu wallahi :A S kiss: :car:
 
IMG_4619.JPG



Hakika kila mla mwenzake HAKIKA kina njaa!
 
Ipo kazi DUNIANI....Yangu majicho..Hta shetani anaweza kukujia usiku au mchana kwa sura za kuvutia na kukutoa roho..Shinda shetani.:embarassed2::smash:
 
ua great thinkers jaman eeeh.leten vitu vyenye mantiki bana ina maana nowdays ni hawa watu tu?
 
Mh sasa hawa wote walikuwa walimu wa huyu Elizabeth?
 
Back
Top Bottom