SWIMMING POOL NA USALAMA WA WATOTO MAJUMBANI

SWIMMING POOL NA USALAMA WA WATOTO MAJUMBANI

Umeongea vyema. Jamaa mmoja akipanda kwenye chombo cha usafiri pamoja na makapuku roho yake mkononi, akipanda na watu maarafu anarelax akiamini hakuna kitakachotokea. Sasa Ile ajali ya yule jamaa wa Zimbabwe imenifikirisha sana...
Kuna la kujifunza sana kwenye ajali ya CHIVAYO.
 
Hata kwa wazungu, swimming pool huwa zinachangia sana vifo vya watoto wadogo...
Nadhani watu wanakosa elimu ya swimming pool ,ilitakiwa kabla ya kujenga macontractor wawashauri vizuri maBOSS ,ni kama ukitaka kujenga jengo unapeleka ramani ili mipango miji waone kama umefuata vigezo ,kuna escaping door ,assembly area ,mifumo ya maji taka n.k Watu wanajenga kwa SHOWOFF tu ili watu waseme jamaa ana bonge la jumba lina swimming Pool.....Na pia kama ukipeleka ramani halmashauri unajenga na swimming pool basi inabidi wakaguzi waje kuangalia kama umeiweka vizuri kwa usalama wa watoto na watumiaji.
 
Duh! Salome amefiwa na mtoto? Jamani, amehangaika sana kupata huyo mtoto.

🥹
1790862239010.png
 
Back
Top Bottom