Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,063
lakini sisi tulikuwa tunaelewana,kuna kidudu mtu hapa kimeingilia kati na ole wake nikijue
Hicho kidudu mtu ni Nitonye tu,naona anakutaka kaba,mpe tu kidogo....
lakini sisi tulikuwa tunaelewana,kuna kidudu mtu hapa kimeingilia kati na ole wake nikijue
wee unalala saa ngapi?
Hicho kidudu mtu ni Nitonye tu,naona anakutaka kaba,mpe tu kidogo....
Orayt nafunga mlango wa choo. Atakayejojoa kitandani kesho hamna kwenda shule. Watoto wa siku hz sijui mkoje. Nawaambieni mkajojoe mlale nyie mnapiga umbea. Afu mnalalamika hesabu ngumu.
Acha asee manake kaby kesharudi.
raha yake mnaijua weewe na mwenzako SL mlokuwa mnasema
Tatizo lako unajishtukia sana...
haya km hujaachika mlete Uporoto hapa
Miss you too my wiibora umuulize,jamani kony nimekumis weewe lol
Nashangaa, hapa kuna kizee kinakoroma kweli, sasa anayepost labda ni nyumba ndogo imepewa hadi pasiwedi ya jf
Net ya nini kibabu kinanifunika na ngozi yekeAnalala Asprin akilala.....hapo wanategeana kushusha neti...
unaona mawifi wasivyo na wema? Ghubu la wifio hangaika nalo
uporoto wa karne nishamsahau.Halafu sio nimeachika nasomea ubikra.
Mambo JGNambie BT, mamboo?
Side yako na wifizo ni poa tu? gozigoziless no micharuko ?
wee bishanga koma nitonye kaka angu wa damu
Wautaka sio?
Umechelewa nilishampa tangu usiku...we si unalala fofofo...