Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
Jamani wanajamvi naombeni mnijuze, hivi kipi kilijiri kipindi sipo?
Huyu mdada ni wifi yangu kabisaa na tulikua tunaiva.Leo nimerudi naona ananianzishia vijembe.Nisaidieni jamani lol