Dogo kanichekesha mno...anaona kabisa amebambwa lakini anaendelea kugonga chocolate bila wasiwasi...anatishiwa kusemelewa kwa baba lakini ndo anaongeza kijiko kingine. Ama haoni kosa lake liko wapi au ana uhakika daddy akiambiwa atamuunga mkono:becky: